Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Hahahaha aiseee ni kweli Mkapa anafanana na LordLofa aisee kakosa kofia tu!!
 
hatupo hapa kwa ajili ya kubishana na nyie mliotumwa kuandika kwenye haya majukwaa. sisi upumbavu na ulofa tumeupokea heri yake yeye mwerevu anayekula kodi za wapumbavu na malofa. mungu ambariki sana mwerevu huyu ndio maana tulimweka ikulu kwa sababu ya uelevu wake ili atuongoze na atuelimishe tuondokane na upumbavu lkn mpaka anamaliza kipindi chake bado katuacha na upumbavu wetu.
 
ENYI WAPUMBAVU NA MALOFA, MMEAMKAJE?

Enyi Wapumbavu na Malofa, mmeamkaje?
Je, usiku mlikula mlo bora? Matunda, mbogamboga, nyama, samaki n.k?
Je, leo asubuhi MENU yenu ikoje? Watoto wenu wana viatu imara na sare za shule? Wana vitabu vingapi? Wana madawati na walimu wangapi huko shuleni?

Enyi Wapumbavu na Malofa leo mnaelekea kwenye mahangaiko yenu na sijui huko mtakutana na nini! Kwa wale wafanyakazi kati yenu wangapi wanaenda nyumbani na shs laki 5 kila mwezi ukiondoa makato, kwa malofa na wapumbavu wanaolimana kufuga wangapi kati yenu wanaridhishwa na bei za mazao na mifugo?

Enyi wapumbavu na Malofa, mnakumbuka Mwenyekiti wenu Mkapa alivyoingia madarakan kwa Mbwembwe na sifa akitangaza hadi mali zake lakini alipoondoka madarakani miaka 10 baadaye haikujulikana ana mali gani na alipoulizwa alikuja juu kama mbogo? Mnakumbuka alivyoigeuza ikulu kuwa duka? Ufisadi wa Kiwira na uchagu kibao?

Enyi wapumbavu na Malofa Mnamkumbuka brother JK alivyokuja akiwa hana kitu, leo anatuhumiwa kuondoka na UKWASI Mkubwa kabisa madarakani.

Ewe Lofa na Mpumbavu mwenzangu popote pale ulipo, jiulize miaka 50 ya CCM imekuongezea nini maishani mwako! Tafakari umepata manufaa yapi na uongozi wa Mwinyi, Mkapa na sasa JK. Jiulize ikiwa kuna jambo kubwa Magufuli atakuja kulifanya chini ya Chama Cha Ukombozi wa Wanaozidi Kutajirika kama CCM.

Tutaendelea kuwa Wapumbavu na Malofa kama tunavyoelezwa vinginevyo tuamue sasa.

‪#‎Komesha_Upumbavu_Na_Ulofa_tarehe_25_Oktoba_Kwa_Kuchagua_UKAWA‬!
 
Kama jana kulikuwa na matusi, basi JF sasa hivi imesheeni matusi kuliko ya upumbavu na ulofa! Oktoba mbali wabaki ma GT kama zamani!

Naomba ni Quote part ya speech ya Major C.A Bach iliyotolewa kwa maofficer wanafunzi katika kambi ya pili ya mafunzo Fort Sheridan wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia,kwaajili tu ya viongozi wa CCM.
"Moral force is the third element in gaining Moral Ascendency.To exert moral force you must live clean; you must have sufficient brain power to see the right and the will to do the right.Be an example to your men! An officer can be a power for good or a power for evil.Don't preach to them~ that will be worse than useless.Live the kind of life you would have them lead, and you will be suprised to see the number that will imitate you.
A loud~mouthed, profane captain who is careless of his personal appearance will have a loud~mouthed,profane ,dirty company .Remember what I tell you .Your company will be the reflection of Yourself."
 
Heeeee, Heeee ni tuna masikitiko makubwa kwa kauli ya MATUSI aliyotoa Mh. Rais mstaafu Ben Mkapa jana katika uzinduzi wa kampeni kwa chama tawala (CCM). Alisema wapinzani ni WAPUMBAVU na akarudia ni WAPUMBAVU SANA.

Sasa kwa masharti yaliyotolewa na tume ya uchaguzi ya kutotoa kauli za kuudhi wala kashfa huyu naye mbona alikiuka?

Mzee Mkapa iga mfano kwa Rais mstaafu mwenzio Mzee Mwinyi alivyotoa hotuba ya busara.

Kwa wadhifa wako hukupaswa kutukana kabisa, kwa hapo Mh umekididimiza chama.

Sasa sisi wananchi ni jukumu letu tarehe 25 Octoba,2015 kuondokana na watu wa chama kile kile miaka yoooote toka uhuru ambao hawana lugha nzuri kwa kizazi kijacho.

Jamaaaaaaniii eeeee akili kumkichwa, Oct, 25

Kiswahili lugha yako lkn bado hukielewi. Nini maana ya neno wapumbavu
 
Naomba ni Quote part ya speech ya Major C.A Bach iliyotolewa kwa maofficer wanafunzi katika kambi ya pili ya mafunzo Fort Sheridan wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia,kwaajili tu ya viongozi wa CCM.
"Moral force is the third element in gaining Moral Ascendency.To exert moral force you must live clean; you must have sufficient brain power to see the right and the will to do the right.Be an example to your men! An officer can be a power for good or a power for evil.Don't preach to them~ that will be worse than useless.Live the kind of life you would have them lead, and you will be suprised to see the number that will imitate you.
A loud~mouthed, profane captain who is careless of his personal appearance will have a loud~mouthed,profane ,dirty company .Remember what I tell you .Your company will be the reflection of Yourself."
Huwezi kui summarize kwa kiswahili? Alafu hii quotation nimeona umeibandika sehemu nyingi tu humu JF! Hauna nyingine zenye mfano wake?
 
Lizaboni uko sahihi. Nashangaa UKAWA wanaibuka na hoja nyepesi kuwa Mkapa kawatukana watanzania, sio kweli. Mkapa aliwaambia wote wanaosema wanataka kuikomboa Tanzania wakati imeishakombolewa ndio wapumbavu.

Pia ninachokiona hawa jamaa wameanza kutafuta kuonewa huruma na watanzania kwa kupanda daladala na kufanya vituko vingine. Kiufupi tuwe makini nao.

Hawamzungumzii Magufuli bali viongozi wengine ambao sio wagombea kwakuwa Magufuli hana doa na ni mkweli.

Mgombea wao ataishia kuimba nyimbo za Magufuli tu 'ali serema' hata sauti yake haina hamasa.
 
Huwezi kui summarize kwa kiswahili? Alafu hii quotation nimeona umeibandika sehemu nyingi tu humu JF! Hauna nyingine zenye mfano wake?

Umeiona wapi na wapi?
Naweza kuisummarize!
 
Lizaboni uko sahihi. Nashangaa UKAWA wanaibuka na hoja nyepesi kuwa Mkapa kawatukana watanzania, sio kweli. Mkapa aliwaambia wote wanaosema wanataka kuikomboa Tanzania wakati imeishakombolewa ndio wapumbavu.

Pia ninachokiona hawa jamaa wameanza kutafuta kuonewa huruma na watanzania kwa kupanda daladala na kufanya vituko vingine. Kiufupi tuwe makini nao.

Hawamzungumzii Magufuli bali viongozi wengine ambao sio wagombea kwakuwa Magufuli hana doa na ni mkweli.

Mgombea wao ataishia kuimba nyimbo za Magufuli tu 'ali serema' hata sauti yake haina hamasa.

Nakuomba usiyaamini unayoongea,October sio mbali!
 
Back
Top Bottom