Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

Utajiri aliutoa wapi? kwa nini alikimbia mama land??
 
Huyo mwizi anapaswa kufukiwa kama mzoga wa mbwa, hakuna kuaga
Nashauri Uongozi wa JamiiForums uwe na Utaratibu wa Kupima Akili Members wake mara kwa mara kwani kuna Wengine kama huyu ( Wewe ) unaonyesha kabisa kuwa ama Umetoroka Wadi ya Vichaa Milembe Dodoma au Lutindi Tanga Mental Hospitals au leo umesahau Kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili unaokusumbua.

Pumbavu.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume and Dr Matola PhD
 
Nakumbuka kipindi kile wakati nasoma, bodi ya mikopo ikachelewesha kutuwekea bumu, tukaandamana hadi loan board kipindi hicho msasani. Tukishinikiza bodi ituwezeshe, kipindi hicho Nimrod alikuwa mlezi wa bodi.
Basi bwana alitoa pesa zake binafsi kuipatia bodi tukapata bumu.
 
RIP siwezi ongea mengi maana hawezi kujitetea au kunijibu, ila hii fedha aliipata kihahali yaani bila kashifa yeyote?,kwangu beside President Nyerere (MHSRIP),ni Jackson Makwetta (MHSRIP)ndio aliishi clean line,wengine ni mafisadi na wezi wakubwa walioifanya nchi hii hadi leo hatuwezi to provide safe na clean water kwa raia
 
Wewe ni Mpuuziiiiiii Marehemu aliibia nchi hii hakuna mfanowe. Kitendo cha kumpa hiyo heshima ni kuhalalisha ufisadi
 
Nimrod katoa hela mara nyingi sio mara moja kuwapa wanafunzi na sidhani kama alikua anarudishiwa ukiwaambia hawa Waswahili wanadhani story...watu walikua pia wanakwepa kulipa 20,000 ya muhuri kwake ilikua bure wakigonga zile form za Bodi ya Mkopo...
 
Kitu hujui kaa kimya! Tutamwaga yote humu.
 
Siku za nyuma ilikuwa ni wazi kabisa kuwa CCM kilikuwa ni chama cha mafisadi,wezi wa mali ya nchi hii.Orodha ya mafisadi iliyotolewa na aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA na mwanasheria wa chama Dr Slaa na Tundu Lissu kwa mpangilio ilikoleza ufisadi wa CCM.
Mchakato wa uchaguzi mkuu ulimtoa mmoja wa waliotajwa kwenye orodha kutoka CCM na kwenda CHADEMA.Huo ulikuwa ni mwanzo wa debate,kwamba ni chama kipi cha mafisadi? Mpaka sasa makada wa CCM wanawaona CHADEMA kama mafisadi kwa uwepo wa huyo mtu na kujaribu kuhamisha magoli!!
Kuondoa mzizi wa fitina,lazima namba zitumike kwa kutumia ileile orodha ya aibu ya Dr.Slaa ambayo wanaCCM ndio wanaitumia zaidi kuwashambulia CHADEMA.
  • Gavana wa Benki Kuu (BoT), Marehemu, Dk. Daudi Balali (CCM)
  • Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge (CCM)
  • Basil Mramba aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Rombo (CCM) na Waziri
  • Gray Mgonja aliyekuwa Katibu Mkuu mstaafu, Hazina (CCM)
  • Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Patrick Rutabanzibwa(CCM)
  • Nazir Karamagi aliyewahi kuwa Mbunge(CCM)
  • Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM)
  • Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM)
  • Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CHADEMA)
  • Rais mstaafu, Benjamin Mkapa(CCM)
  • Rais wa Sasa, Jakaya Kikwete(CCM)
Kwenye orodha ya mafisadi 11 waliotajwa na Dr Slaa pale Mwembeyanga,kwa sasa CCM inao 9(+mareh.Balali!!) ilhali CHADEMA wanaye mmoja tu.Kama hii orodha ndio kigezo na kama kweli kila aliyetajwa alikuwa fisadi,ni wazi CCM bado wana kazi kubwa ya kuhusu ufisadi nchini.

mytake:Tumuunge mkono kila anayepiga vita ufisadi wakiongozwa kwa sasa na mh.JPM bila kuwabeza wapiga kelele kama Tundulisuu

Inapatikana: hapa CCM vs CHADEMA:Kipi ni chama cha mafisadi?

Inatokea:
 
Katika fikra yake nyengine Mhe Zitto anakiri kuwa Watanzania sio mabwege, Naam na ndio maana tunahoji uhalali na usafi wa Zitto katika hili.,zipo nyaraka zinazothibitisha kuwa gari aina ya Nissan Patrol yenye namba T182 BRF ambayo amepewa na kuitumia Mhe Zitto ilikuwa ni mali ya Mwanasheria maarufu nchini na mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini Mhe Nimrod Mkono ambaye amehusishwa na Ufisadi mkubwa wa bilioni 8.1 za Benki Kuu (BOT) na baadae TANESCO. Umefika wakati sasa wa watanzania kuujua Ukweli na sura halisi ya watu ambao wanajipambanua katika macho ya watu kuwa niwapinga rushwa na wafia Taifa hali ya kuwa ni wala rushwa na wanaotumika na watu wenye kufisadi nchi.

imetoka:

Niendelee humu humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…