green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Mwizi kama MagufuliHuyo mwizi anapaswa kufukiwa kama mzoga wa mbwa, hakuna kuaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwizi kama MagufuliHuyo mwizi anapaswa kufukiwa kama mzoga wa mbwa, hakuna kuaga
Utajiri aliutoa wapi? kwa nini alikimbia mama land??Ni ukweli usiopingika kuwa 60% ya Wasomi wa miaka ya Karibuni walifanikiwa Kusoma kwa Juhudi za Marehemu Mzee Mkono alipokuwa Mkuu wa Bodi ya Mikopo ambaye Binafsi alihakikisha hakuna Mtoto wa Masikini hasomi na ndiyo maana kuna muda aliweza hata kutoa Pesa zake Mfukoni ili Wanafunzi walipwe na Wakasome.
R.I.P Mzee Nimrod Elirehema Mkono.
Ikiwezekana ni vyema zaidi Ndugu.Kwanini tusimwagie Taifa?
Nashauri Uongozi wa JamiiForums uwe na Utaratibu wa Kupima Akili Members wake mara kwa mara kwani kuna Wengine kama huyu ( Wewe ) unaonyesha kabisa kuwa ama Umetoroka Wadi ya Vichaa Milembe Dodoma au Lutindi Tanga Mental Hospitals au leo umesahau Kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili unaokusumbua.Huyo mwizi anapaswa kufukiwa kama mzoga wa mbwa, hakuna kuaga
Kwani Mtu kuwa Wealthier ni Dhambi? Hivi ni lini baadhi yenu mtabadilika Kifikra na Kuachana na Upumbavu, Ushamba, Wivu na Roho Mbaya?utajiri aliutoa wapi? kwa nini alikimbia mama land??
Mkoa wa Mara una watu wengi na pia mzee wetu alikuwa ni mtu wa watu mwenye marafiki wasomi kutoka ndani na nje ya nchi tena wenye hadhi ya juu Leaders Club hapana sehemu nzuri ya ku fit status zaoIkiwezekana ni vyema zaidi Ndugu.
Hizo ndio fixNakumbuka kipindi kile wakati nasoma, bodi ya mikopo ikachelewesha kutuwekea bumu, tukaandamana hadi loan board kipindi hicho msasani. Tukishinikiza bodi ituwezeshe, kipindi hicho Nimrod alikuwa mlezi wa bodi.
Basi bwana alitoa pesa zake binafsi kuipatia bodi tukapata bumu.
Means nchi yetu inaruhusu dual citizenship au ni kwa the selected only?,yaani royal families!!View attachment 2593261
Hapo alikua na obama, ukumbuke alikua raia pia wa marekani
Lijambazi la Chato halikufukiwa kama mzoga ndio sembuse mwanamwema Nimrod Mkono? Wacha ujinga.Huyo mwizi anapaswa kufukiwa kama mzoga wa mbwa, hakuna kuaga
Hakuna fix, ni ukweli mtupu, labda ulikuwa mtoto, au unadhani Mzee Mkono alikuwa ni mchoyo wa kariba ya kina Mwigulu Nchemba?Hizo ndio fix
Wewe ni Mpuuziiiiiii Marehemu aliibia nchi hii hakuna mfanowe. Kitendo cha kumpa hiyo heshima ni kuhalalisha ufisadiNashauri Uongozi wa JamiiForums uwe na Utaratibu wa Kupima Akili Members wake mara kwa mara kwani kuna Wengine kama huyu ( Wewe ) unaonyesha kabisa kuwa ama Umetoroka Wadi ya Vichaa Milembe Dodoma au Lutindi Tanga Mental Hospitals au leo umesahau Kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili unaokusumbua.
Pumbavu.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume and Dr Matola PhD
Unamjua alivyokwapua Huyo mkono wenu! Acheni ujingaLijambazi la Chato halikufikiwa kama mzoga ndio sembuse mwanamwema Nimrod Mkono? Wacha ujinga.
Nimrod katoa hela mara nyingi sio mara moja kuwapa wanafunzi na sidhani kama alikua anarudishiwa ukiwaambia hawa Waswahili wanadhani story...watu walikua pia wanakwepa kulipa 20,000 ya muhuri kwake ilikua bure wakigonga zile form za Bodi ya Mkopo...Hakuna fix, ni ukweli mtupu, labda ulikuwa mtoto, au unadhani Mzee Mkono alikuwa ni mchoyo wa kariba ya kina Mwigulu Nchemba?
Alifanya mengi mazuri zaidi ya hilo unaloona wewe ni fix, kwakuwa ulafi wa viongozi wa Ccm hawa, hakuna anayeweza kufanya hivyo sasa.
Kitu hujui kaa kimya! Tutamwaga yote humu.Hakuna fix, ni ukweli mtupu, labda ulikuwa mtoto, au unadhani Mzee Mkono alikuwa ni mchoyo wa kariba ya kina Mwigulu Nchemba?
Alifanya mengi mazuri zaidi ya hilo unaloona wewe ni fix, kwakuwa ulafi wa viongozi wa Ccm hawa, hakuna anayeweza kufanya hivyo sasa.