Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

Hili suala lianzie kwa uongozi wa JF, wanaruhusy dhihaka kama hizi za kudhalilisha watu waliokufa, ni utaratibu mbaya sana nilitegemea Maxence Melo achukue hatua kuanzia kwa dhihaka ya Dkt Magufuli ila wapi. Ila haya yana mwisho wake.
Wakati watu wanakufa mahospitali na kuzikwa kama mizoga kutokana na ndugu kukimbia bili za hospitali kwa sababu ya upigaji dili aliofanya kwenye kesi za kimataifa kiasi wananchi kukosa hata pesa za matibabu unataka tumsifie mwizi huyo.., hebu acheni unafiki! Nchi sio yenu pekee yenu, na jukwaa hili ni la wanachi, tuacheni tuseme
 
naunga mkono hoja
RIP Nimrod Mkono
p
 
Huna akili, hujui bunge linaendeshwa vipi.

Mkono hakuwa mpayukaji bungeni, kama kupayuka ndio ubunge basi jimbo la Mtera lingefanana na Mwanza mjini.

Kwanza Mkono alikuwa na tatizo la sauti, michango yake mingi aliitowa kwa maandishi ndio maana ulimuona akiongea bungeni Mara chache sana tena kwenye sensitive issues tu.

Maendeleo jimboni hayapatikani kwa kupayuka bungeni Bali kufanya physical follow up sehemu husika.

Kama una akili japo za kuvukia barabara Ingia website ya bunge tafuta Hansard za michango ya maandishi ya Nimrod Mkono ndio ujuwe unamuongelea mtu usiyemjuwa hata chembe.
 
Dah umemtaja babu yangu kabisaaa Jackson muvangila makwetta kweli alikua Patriot copy ya nyerere kabisaaa,,RIP BABU
 
Wewe huwa ni mtupu kichwani kila mtu hapa JF ambaye alikwenda hata Vidudu anakufahamu hivyo. Najua hata huwezi kusoma, ila kwa faida ya wenzako rejea hapa

 
Ni sawa,siyo vizuri kumsema marehemu vibaya lakini ni vizuri pia ukajua huyo Mzee huo utajiri aliuotoa wapi,tuliozaliwa miaka ya 1960's wala hatushangai hayo.
 
Mimi ni mwananchi wa jimbo lake . Najua ninachokizungumza by first hand experience. Hakuna cha maana alichofanya Mkono jimboni zaidi ya kujenga shule mbili kwa ufadhili wa wazungu km memorial ya Mwalimu. Nakumbuka alikuwa anatumia hela za mfuko wa jimbo kutoa ahadi na kujitwika sifa kuwa ni hela zake binafsi. Kiufupi jamaa alikuwa mjanja aliyejua kucheza na akili za wananchi maskini. Tukiachilia mbali ubingwa wake wa kununua wapinzani na kutembeza rushwa ili apite bila kupingwa
 
Huyu Mzee sisahau kampuni yake ya Sheria iliwahi wagongea bure wanafunzi waliokua wanakopa mikopo wakitakiwa kugonga muhuri wa Mwanasheria watu wa namna hiyo mimi huwa nawakubali sana...
Asante, hata mimi ni Wakili na mihuri nagonga bure na sasa niko kwenye mchakato wa kujipanga kuwasaidia zaidi Watanzania wasio na uwezo wa kuajiri wakili, kupata huduma za msaada wa kisheria.
p
 
Asante, hata mimi ni Wakili na mihuri nagonga bure na sasa niko kwenye mchakato wa kujipanga kuwasaidia zaidi Watanzania wasio na uwezo wa kuajiri wakili, kupata huduma za msaada wa kisheria.
p
Mkuu nikupongeze kwa hili, hata kama ni kidogo lakini ni mchango mkubwa sana.

Maana hata mahakama yenyewe imeshindwa kutowa huduma hii bure inatoza sh 10,000/=
 
Unajenga shule 1 wakati umeingiza nchi mkenge kwenye kesi ambayo fidia tunayolipa ingeweze kujenga shule laki 5?! Halafu lenyewe linakuka 10% , majitu ya hivi ni kuyananga mwanzo mwisho..,
Sasa Bora huyo amekumbuka angalau kujenga hata hiyo shule moja ambayo vizazi vingi vitasoma hapo wewe mbona baba yako fisadi na hajajenga hata moja?
 
Unafahami hela za Jimbo zimeanza kutolewa lini? Wewe shukuru Mungu hata hizo shule mbili sisi tulimpa lema miaka kumi hakuna hata chekechea aliyoweza kujenga wakati mwingine nafikiri ni Bora kuwapa matajiri uongozi kuliko maskini njaa mbaya sana
 
Hii hata mimi naikumbuka na nlikuwa miongoni mwa wanufaika wa hela za huyu dingi
 
Dr. nakuona na ID nyingine!
 
Unafahami hela za Jimbo zimeanza kutolewa lini? Wewe shukuru Mungu hata hizo shule mbili sisi tulimpa lema miaka kumi hakuna hata chekechea aliyoweza kujenga wakati mwingine nafikiri ni Bora kuwapa matajiri uongozi kuliko maskini njaa mbaya sana
Matajiri wa Kitz wanaojificha kwenye siasa kulinda mali na biashara zao zisisumbuliwe na kubughudhiwa? Labda tupate matajiri wenye passion na siasa kweli na sio kina Mkono, Tabasamu, Musukuma n.k ambao ndio matajiri waliopo kwenye siasa zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…