Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Asante Dr Matola PhD.Cc: Pascal Mayalla tunapowachafuwa watu tuweke na ushahidi, na siyo thread za mjadala au Dr Slaa kasema vile wakati Dr Slaa mwenyewe ni mgonjwa wa akili.
p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Dr Matola PhD.Cc: Pascal Mayalla tunapowachafuwa watu tuweke na ushahidi, na siyo thread za mjadala au Dr Slaa kasema vile wakati Dr Slaa mwenyewe ni mgonjwa wa akili.
Wakati watu wanakufa mahospitali na kuzikwa kama mizoga kutokana na ndugu kukimbia bili za hospitali kwa sababu ya upigaji dili aliofanya kwenye kesi za kimataifa kiasi wananchi kukosa hata pesa za matibabu unataka tumsifie mwizi huyo.., hebu acheni unafiki! Nchi sio yenu pekee yenu, na jukwaa hili ni la wanachi, tuacheni tusemeHili suala lianzie kwa uongozi wa JF, wanaruhusy dhihaka kama hizi za kudhalilisha watu waliokufa, ni utaratibu mbaya sana nilitegemea Maxence Melo achukue hatua kuanzia kwa dhihaka ya Dkt Magufuli ila wapi. Ila haya yana mwisho wake.
naunga mkono hojaNi ukweli usiopingika kuwa 60% ya wasomi wa miaka ya karibuni walifanikiwa kusoma kwa juhudi za Marehemu Mzee Mkono alipokuwa Mkuu wa Bodi ya Mikopo ambaye binafsi alihakikisha hakuna mtoto wa masikini hasomi na ndiyo maana kuna muda aliweza hata kutoa pesa zake mfukoni ili wanafunzi walipwe na wakasome.
Vile vile kwa wakazi wengi wa kawaida (hasa wa Mkoa wa Dar es Salaam) tutamkumbuka Marehemu Mzee Mkono ambaye alipenda sana kujichanganya na watu wa kawaida (masikini) huku yeye akijijua ni tajiri huku akihakikisha anawasaidia ama kwa kipato (pesa) au kuwatafutia fursa za kitaaluma (elimu) na ajira (kazi).
Moja ya wema wake Marehemu Mzee Mkono alioufanya na MINOCYCLINE kuushuhudia ni pale alipoamua kumjengea nyumba mbili mmoja wa Shamba Boi wake wa muda mrefu aliyewashuhudia hata akina Leah (watoto wa Marehemu wakizaliwa) aitwae Makavu ambaye nasikia kuwa sasa ni marehemu (alishafariki) na kumpa fedha za kuanzisha mradi baada ya kuwa Mzee.
Mkono alikuwa ni Tajiri asiye Mchoyo, Mjivuni na hakuwa na Dharau kama walivyo 90% ya Matajiri wa Kitanzania.
R.I.P Mzee Nimrod Elirehema Mkono.
Huna akili, hujui bunge linaendeshwa vipi.Popoma umekuja kumlilia mjomba wako. Huyu Mkono amerudisha nyuma maendeleo ya jimbo la Musoma Vijijini kwa kujikosha kujenga shule mbili huku akiwa kimya kuwasemea wananchi.
Miaka yote ya ubunge wake hakuwahi kuwa na hoja yoyote ya maana bungeni wala kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake zaidi ubunge wake aliutumia km njia ya kujilinda kisiasa. Kiufupi Mkono alikuwa tapeli wa kisiasa aliwatapeli wananchi wa Musoma Vijijini na Butiama
Dah umemtaja babu yangu kabisaaa Jackson muvangila makwetta kweli alikua Patriot copy ya nyerere kabisaaa,,RIP BABURIP siwezi ongea mengi maana hawezi kujitetea au kunijibu, ila hii fedha aliipata kihahali yaani bila kashifa yeyote?,kwangu beside President Nyerere (MHSRIP),ni Jackson Makwetta (MHSRIP)ndio aliishi clean line,wengine ni mafisadi na wezi wakubwa walioifanya nchi hii hadi leo hatuwezi to provide safe na clean water kwa raia
Wewe huwa ni mtupu kichwani kila mtu hapa JF ambaye alikwenda hata Vidudu anakufahamu hivyo. Najua hata huwezi kusoma, ila kwa faida ya wenzako rejea hapaHakuna hata sehemu moja ulipoonesha ufisadi wa Nimrod Mkono zaidi ya kurukwa na akili tu.
Magufuli alianzisha mahakama ya mafisadi mpaka leo hakuna kesi hata moja, ndio huu upuuzi unaleta wewe.
Cc: Pascal Mayalla tunapowachafuwa watu tuweke na ushahidi, na siyo thread za mjadala au Dr Slaa kasema vile wakati Dr Slaa mwenyewe ni mgonjwa wa akili.
Ni sawa,siyo vizuri kumsema marehemu vibaya lakini ni vizuri pia ukajua huyo Mzee huo utajiri aliuotoa wapi,tuliozaliwa miaka ya 1960's wala hatushangai hayo.Ni ukweli usiopingika kuwa 60% ya wasomi wa miaka ya karibuni walifanikiwa kusoma kwa juhudi za Marehemu Mzee Mkono alipokuwa Mkuu wa Bodi ya Mikopo ambaye binafsi alihakikisha hakuna mtoto wa masikini hasomi na ndiyo maana kuna muda aliweza hata kutoa pesa zake mfukoni ili wanafunzi walipwe na wakasome.
Vile vile kwa wakazi wengi wa kawaida (hasa wa Mkoa wa Dar es Salaam) tutamkumbuka Marehemu Mzee Mkono ambaye alipenda sana kujichanganya na watu wa kawaida (masikini) huku yeye akijijua ni tajiri huku akihakikisha anawasaidia ama kwa kipato (pesa) au kuwatafutia fursa za kitaaluma (elimu) na ajira (kazi).
Moja ya wema wake Marehemu Mzee Mkono alioufanya na MINOCYCLINE kuushuhudia ni pale alipoamua kumjengea nyumba mbili mmoja wa Shamba Boi wake wa muda mrefu aliyewashuhudia hata akina Leah (watoto wa Marehemu wakizaliwa) aitwae Makavu ambaye nasikia kuwa sasa ni marehemu (alishafariki) na kumpa fedha za kuanzisha mradi baada ya kuwa Mzee.
Mkono alikuwa ni Tajiri asiye Mchoyo, Mjivuni na hakuwa na Dharau kama walivyo 90% ya Matajiri wa Kitanzania.
R.I.P Mzee Nimrod Elirehema Mkono.
Mimi ni mwananchi wa jimbo lake . Najua ninachokizungumza by first hand experience. Hakuna cha maana alichofanya Mkono jimboni zaidi ya kujenga shule mbili kwa ufadhili wa wazungu km memorial ya Mwalimu. Nakumbuka alikuwa anatumia hela za mfuko wa jimbo kutoa ahadi na kujitwika sifa kuwa ni hela zake binafsi. Kiufupi jamaa alikuwa mjanja aliyejua kucheza na akili za wananchi maskini. Tukiachilia mbali ubingwa wake wa kununua wapinzani na kutembeza rushwa ili apite bila kupingwaHuna akili, hujui bunge linaendeshwa vipi.
Mkono hakuwa mpayukaji bungeni, kama kupayuka ndio ubunge basi jimbo la Mtera lingefanana na Mwanza mjini.
Kwanza Mkono alikuwa na tatizo la sauti, michango yake mingi aliitowa kwa maandishi ndio maana ulimuona akiongea bungeni Mara chache sana tena kwenye sensitive issues tu.
Maendeleo jimboni hayapatikani kwa kupayuka bungeni Bali kufanya physical follow up sehemu husika.
Kama una akili japo za kuvukia barabara Ingia website ya bunge tafuta Hansard za michango ya maandishi ya Nimrod Mkono ndio ujuwe unamuongelea mtu usiyemjuwa hata chembe.
Asante, hata mimi ni Wakili na mihuri nagonga bure na sasa niko kwenye mchakato wa kujipanga kuwasaidia zaidi Watanzania wasio na uwezo wa kuajiri wakili, kupata huduma za msaada wa kisheria.Huyu Mzee sisahau kampuni yake ya Sheria iliwahi wagongea bure wanafunzi waliokua wanakopa mikopo wakitakiwa kugonga muhuri wa Mwanasheria watu wa namna hiyo mimi huwa nawakubali sana...
Mkuu nikupongeze kwa hili, hata kama ni kidogo lakini ni mchango mkubwa sana.Asante, hata mimi ni Wakili na mihuri nagonga bure na sasa niko kwenye mchakato wa kujipanga kuwasaidia zaidi Watanzania wasio na uwezo wa kuajiri wakili, kupata huduma za msaada wa kisheria.
p
Mental case, nothing new.Wewe huwa ni mtupu kichwani kila mtu hapa JF ambaye alikwenda hata Vidudu anakufahamu hivyo. Najua hata huwezi kusoma, ila kwa faida ya wenzako rejea hapa
Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake
Huyo mwizi anapaswa kufukiwa kama mzoga wa mbwa, hakuna kuagaMwizi kama Magufuliwww.jamiiforums.com
Sasa Bora huyo amekumbuka angalau kujenga hata hiyo shule moja ambayo vizazi vingi vitasoma hapo wewe mbona baba yako fisadi na hajajenga hata moja?Unajenga shule 1 wakati umeingiza nchi mkenge kwenye kesi ambayo fidia tunayolipa ingeweze kujenga shule laki 5?! Halafu lenyewe linakuka 10% , majitu ya hivi ni kuyananga mwanzo mwisho..,
Unafahami hela za Jimbo zimeanza kutolewa lini? Wewe shukuru Mungu hata hizo shule mbili sisi tulimpa lema miaka kumi hakuna hata chekechea aliyoweza kujenga wakati mwingine nafikiri ni Bora kuwapa matajiri uongozi kuliko maskini njaa mbaya sanaMimi ni mwananchi wa jimbo lake . Najua ninachokizungumza by first hand experience. Hakuna cha maana alichofanya Mkono jimboni zaidi ya kujenga shule mbili kwa ufadhili wa wazungu km memorial ya Mwalimu. Nakumbuka alikuwa anatumia hela za mfuko wa jimbo kutoa ahadi na kujitwika sifa kuwa ni hela zake binafsi. Kiufupi jamaa alikuwa mjanja aliyejua kucheza na akili za wananchi maskini. Tukiachilia mbali ubingwa wake wa kununua wapinzani na kutembeza rushwa ili apite bila kupingwa
Mere speculations...Fungeni uzi huu maana naamini marehemu huwa anasitiriwa ila kitendo cha kuonesha kuwa ufisadi ni ushujaa hili halikubaliki
Hii hata mimi naikumbuka na nlikuwa miongoni mwa wanufaika wa hela za huyu dingiNakumbuka kipindi kile wakati nasoma, bodi ya mikopo ikachelewesha kutuwekea bumu, tukaandamana hadi loan board kipindi hicho msasani. Tukishinikiza bodi ituwezeshe, kipindi hicho Nimrod alikuwa mlezi wa bodi.
Basi bwana alitoa pesa zake binafsi kuipatia bodi tukapata bumu.
Dr. nakuona na ID nyingine!Ni ukweli usiopingika kuwa 60% ya wasomi wa miaka ya karibuni walifanikiwa kusoma kwa juhudi za Marehemu Mzee Mkono alipokuwa Mkuu wa Bodi ya Mikopo ambaye binafsi alihakikisha hakuna mtoto wa masikini hasomi na ndiyo maana kuna muda aliweza hata kutoa pesa zake mfukoni ili wanafunzi walipwe na wakasome.
Vile vile kwa wakazi wengi wa kawaida (hasa wa Mkoa wa Dar es Salaam) tutamkumbuka Marehemu Mzee Mkono ambaye alipenda sana kujichanganya na watu wa kawaida (masikini) huku yeye akijijua ni tajiri huku akihakikisha anawasaidia ama kwa kipato (pesa) au kuwatafutia fursa za kitaaluma (elimu) na ajira (kazi).
Moja ya wema wake Marehemu Mzee Mkono alioufanya na MINOCYCLINE kuushuhudia ni pale alipoamua kumjengea nyumba mbili mmoja wa Shamba Boi wake wa muda mrefu aliyewashuhudia hata akina Leah (watoto wa Marehemu wakizaliwa) aitwae Makavu ambaye nasikia kuwa sasa ni marehemu (alishafariki) na kumpa fedha za kuanzisha mradi baada ya kuwa Mzee.
Mkono alikuwa ni Tajiri asiye Mchoyo, Mjivuni na hakuwa na Dharau kama walivyo 90% ya Matajiri wa Kitanzania.
R.I.P Mzee Nimrod Elirehema Mkono.
Zilikuwa fix tu . Public stunts za kutafuta umaarufu wa kisiasa na sio ukweliHii hata mimi naikumbuka na nlikuwa miongoni mwa wanufaika wa hela za huyu dingi
Matajiri wa Kitz wanaojificha kwenye siasa kulinda mali na biashara zao zisisumbuliwe na kubughudhiwa? Labda tupate matajiri wenye passion na siasa kweli na sio kina Mkono, Tabasamu, Musukuma n.k ambao ndio matajiri waliopo kwenye siasa zetuUnafahami hela za Jimbo zimeanza kutolewa lini? Wewe shukuru Mungu hata hizo shule mbili sisi tulimpa lema miaka kumi hakuna hata chekechea aliyoweza kujenga wakati mwingine nafikiri ni Bora kuwapa matajiri uongozi kuliko maskini njaa mbaya sana
Sina kumbukumbu vizuri kama alikuwa mwanasiasa 2005. All in All alitoa pesa tukakopeshwa wanafunziZilikuwa fix tu . Public stunts za kutafuta umaarufu wa kisiasa na sio ukweli
Mkono ni mbunge toka 2000. Hakuwahi kuikopesha bodi ya mikopo bali ni uzushi na uvumi tu km zilivyo vumi za ng’ombe kunyakuliwa na mwewe huko Sumbawanga n.kSina kumbukumbu vizuri kama alikuwa mwanasiasa 2005. All in All alitoa pesa tukakopeshwa wanafunzi