Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

Sasa Bora huyo amekumbuka angalau kujenga hata hiyo shule moja ambayo vizazi vingi vitasoma hapo wewe mbona baba yako fisadi na hajajenga hata moja?
Yaani mara 100 pesa zote alizoiba angezitumia hapa hapa nchini, kuliko kwenda kuzitupa marekani na kuleta inflation nchini, kumbuka USA huendi na Tshs., lazima ubadili iwe dollar
 
Mere speculations...
Bank M, tuache tu maana ashajiondokea. Ila tuache midomo midomo tunajua alipotoa hizo fedha kwa njia ya udanganyifu. Wewe unadhani kwanini JPM hapa JF anapigwa vita sana. Aliwashika pabaya mafisadi na wengi wa viongozi wa CCM na CDM ni wafisadi na hivyo wanaungana kumpiga vita aliyewakomesha. Hii ni kawaida na subiri mama amalize kipindi chake uone kila kitu kikiwekwa wazi.
 
Mkuu nikupongeze kwa hili, hata kama ni kidogo lakini ni mchango mkubwa sana.

Maana hata mahakama yenyewe imeshindwa kutowa huduma hii bure inatoza sh 10,000/=
Sorry mkuu ,labda sikuelewi hapa yaani kupata ile commissions of oath stamp lazima nilipie...hii sio haki kabisa,hivi vitu ni vya bure kabisa tena unaweza kuvipata police stations au post office
 
Huyo ni tajiri hao akina mbowe wakasome kwa pesa ya huyo mzee zitto wala mbowe hakuna aliewahi kufanya mkutano jimboni kwake huyo mzee akiwa mbunge hata lissu alikua anavuta sana posho hapo,

Usiharibu uzi kwa kuleta siasa. Uzi wa mkono lakini kwa roho yako mbaya unawajadili kina Mbowe , Zitto na Lissu. Tupunguze uchama kwenye baadhi ya mambo.
 

We kweli mwehu. Lowassa yupo Chadema gani?. Unaumwa akili wewe.
 
We kweli mwehu. Lowassa yupo Chadema gani?. Unaumwa akili wewe.
Acha mihemko, soma source! Mnakurupuka tu. Hizi si comments zangu ila nimekopi na kupesti tu na kuonesha hapo chini. Acheni kukurupuka kuweni wasomi
 
Chai hiyo, sema hukujua hela ilitoka wapi ila kusema alitoa mfukoni mwake huo ni uongo mkubwa.
 
Chai hiyo, sema hukujua hela ilitoka wapi ila kusema alitoa mfukoni mwake huo ni uongo mkubwa.
Refer kwa wachangiaji wengine, mzee hakuwa kinyonge, alikua anamiliki firms ya wanasheria, ofisi yao ilikua posta kama unaenda ifm.
 
Sina kumbukumbu vizuri kama alikuwa mwanasiasa 2005. All in All alitoa pesa tukakopeshwa wanafunzi
Nimrod Elireheema Mkono was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency from 2000 to 2015. He was also a practicing advocate in Mkono and advocates and former owner of Bank M.
 
Asante, hata mimi ni Wakili na mihuri nagonga bure na sasa niko kwenye mchakato wa kujipanga kuwasaidia zaidi Watanzania wasio na uwezo wa kuajiri wakili, kupata huduma za msaada wa kisheria.
p
Safi sana Mkuu hiyo niliona watu wakipanga foleni kwa Mzee nikasema hapa ndio faida ya Elimu na niliona alifikiri mbali sana maana kipindi hiyo board ya mikopo kwa wanafunzi inaanzishwa Mihuri ilikua ni Big ishu..
 
Refer kwa wachangiaji wengine, mzee hakuwa kinyonge, alikua anamiliki firms ya wanasheria, ofisi yao ilikua posta kama unaenda ifm.
Watu wa mikoani huwa hatuamini mpaka tuje daslm...na kama ulikuja jana daslm pana vitu huwezi kuvijua mpaka usimuliwe na utadhani ni unadanganywa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…