Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?


Uchawi ulikuwepo na upo nchi nyingi duniani, ndiyo maana hsta kwenye vocabulary ya kiingereza ‘witchcraft’ upo.
 
Kiujumla watu wengi weupe ukimkuta na imani yake jua anaisimamia ipasavyo, sio kama sisi wazee wa kukopy na kuifanya eneo la kutapelia au kuoatia kitumbo njaa
Hawa watu akiwa ni mchawi ni mchawi kwelikweli
Au ni muumink wa upagani basi ni mpagani kwelii
Sioni maajabu kwa hii story yako
 
Kapigie kelele pengine basi mkuu, tuache tunaotaka kujua kuhusu hii usiforce matusi bure, we pita kushoto kama huoni thread vile, sababu nakuona unaongea pumba tu zisizohusika hapa
Hupati jibu hapa....
Halafu wanaojua hawaweki mambo hayo hapa..
Umekosea😁😁
 
Ninachojua German ni bahili sana hawezi kukupa kitu na pia Hana huruma na mtu
 
 
Uchawi upo duniani kote lakini wajerumani walipoingia nchini waliwahi yale maeneo yote yaliyokuwa na nguvu za asili na kujimilikisha kila kitu kupitia wazee wetu..
Wajerumani walikuwa wajanja sana kujifanya hawajui lolots hivyo kila ambapo palikuwa hapaingiliki waliomba wazee wa mila wawasaidie,, sasa ni katika kusaidika huko waliambatana na wazee na kunakili kila hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haya mambo ya mercury na rupees ni kweli dili au tantalila tu
 
Mkuu haya mambo ya mercury na rupees ni kweli dili au tantalila tu
Yalikuwepo hapo zamani sio sasa hivi.. Mwaka 1987 niliendesha baiskeli masaa 6 kisha nikatembea masaa 3 kufuata rupia mlimani bush kabisa! Nikatolewa furushi la rupia kwenye chungu nitafute niitakayo.. Nilitoka kapa baada ya saa nzima ya kuangalia kila moja kwa umakini mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
[emoji2956]
 
Komredi "harubu" hiyo uliipatia wapi ?!!
 
Makao Makuu ya uchawi Southern Hemisphere ni Canberra,Australia.
Northern Hemisphere ni mji mmoja wa Ujerumani.
Kumbuka Illuminati ilianza Bavaria,Ujerumani.
Na tunaposema "uchawi" tuna maana hawa crazy devil worshippers .
One thing must be stressed. Maneno ya kuwatesa bundi,au kumtesa mnyama yoyote hayafai. Ama sivyo unakuwa kama wafuasi wa Mwamposya,ambao wanashangiliwa wakisema wamemuua paka kwa kutumia mafuta yaliyobarikiwa.
 
Uliwaona wanavoweka hivo vitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…