Picha inajieleza,Mzee Mpili Ameridhia, kila la heri Young Africans,Mabingwa wa Kihistoria[emoji123],Yanga ya Wananchi[emoji172][emoji169].
Naiona timu yenye matokeo mkononi ikienda kula kichapo,naiona timu yenye matumaini ikienda kupata aibu ya mwaka,nawaona Red Cross na Askari wakihangaika kuwasaidia watu wanaoanguka kwa Presha na Mhaho.
Namuona Feisal Ma-assist,kiungo fundi,Namuona Mukoko Tonombe,Namuona Zawadi Mauya,Nauona ushindi ukinogeshwa na kazi nzuri ya hii miamba.
Nitarudi kwa mrejesho baada ya dk 90 za mchezo tarehe 03 July Inshaallah.
View attachment 1834567