Mzee Mpili Amekubali, Simba na Yanga kupigwa July 03

Mzee Mpili Amekubali, Simba na Yanga kupigwa July 03

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,175
Reaction score
1,934
Picha inajieleza,Mzee Mpili Ameridhia, kila la heri Young Africans,Mabingwa wa Kihistoria[emoji123],Yanga ya Wananchi[emoji172][emoji169].

Naiona timu yenye matokeo mkononi ikienda kula kichapo,naiona timu yenye matumaini ikienda kupata aibu ya mwaka,nawaona Red Cross na Askari wakihangaika kuwasaidia watu wanaoanguka kwa Presha na Mhaho.

Namuona Feisal Ma-assist,kiungo fundi,Namuona Mukoko Tonombe,Namuona Zawadi Mauya,Nauona ushindi ukinogeshwa na kazi nzuri ya hii miamba.

Nitarudi kwa mrejesho baada ya dk 90 za mchezo tarehe 03 July Inshaallah.

FB_IMG_1624967119471.jpg
 
Kumbe mlikuwa mnasubiri ruhusa, sasa karibuni mjini.
 
Kwa kweli tuna safari ndefu sana kwenye maendeleo ya mpira. Najiuliza tu ikitokea Yanga kashinda mechi ijayo wapumbavu wengi wataamini huyu mzee Mpili na wenzake ndio wamesababisha Yanga ishinde na si benchi la ufundi. Na ikitokea Yanga kafungwa itaonekana ni kocha wa Yanga na benchi lake la ufundi ndio wamesababisha wafungwe. Na hao wazee wana mikwara mingi na wanajua kucheza na akili za matajiri wa hivi vilabu vikubwa ili wapate mkate wao wa kila siku. Kelele nyingi sana lakini wakipewa pesa hautakaa uwasikie zaidi ya kuimba mapambio ya kuwasifu wafadhili.

Mpira ni sayansi na si uchawi au mazingaombwe vinginevyo Congo na Nigeria zenye wachawi wengi zingekuwa zinabadilishana kubeba kombe la dunia na hata la afrika.
 
Picha inajieleza,Mzee Mpili Ameridhia, kila la heri Young Africans,Mabingwa wa Kihistoria[emoji123],Yanga ya Wananchi[emoji172][emoji169].

Naiona timu yenye matokeo mkononi ikienda kula kichapo,naiona timu yenye matumaini ikienda kupata aibu ya mwaka,nawaona Red Cross na Askari wakihangaika kuwasaidia watu wanaoanguka kwa Presha na Mhaho.

Namuona Feisal Ma-assist,kiungo fundi,Namuona Mukoko Tonombe,Namuona Zawadi Mauya,Nauona ushindi ukinogeshwa na kazi nzuri ya hii miamba.

Nitarudi kwa mrejesho baada ya dk 90 za mchezo tarehe 03 July Inshaallah.

View attachment 1834567
Kuwatisha watu kumemlipa mzee ovyo sana
 
Maisha ya Tanzania n Kama matokeo ya Manchester United Yan hakuna kukata tamaa mpaka dakika ya mwisho unaweza kufulia wee lakini ukingoni kabisa neema ndo inakuja Yan from nowhere tuu maisha haya.

Hongera huyu mzee, mbwiga mbweguke, Bibi cheka, Pierre na wengine Kama hao Yan investment 0 effort mavuno kibao
 
Mpili baada ya kukabidhiwa bahasha ya kaki na Hersi -

"Tunachedjza tunachedjza tumachedjza"
 
Back
Top Bottom