Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387

Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda, kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja, watakuja kufa bure. Wewe siyo mchezaji unakuja kuangalia nini?

Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza; uchawi, uchawi, uchawi, tu! Na waarabu hawarogeki "Mbwa nyinyi".
- Lucy Eymael

Mshirikina huwaza ushirikina tu.
Vipi safari hii hatuwashi moto?
 
anakwambia"ntavesha ntu nguo nyeupe"[emoji28][emoji23]
 
Mshirikina huwaza ushirikina tu.
Vipi safari hii hatuwashi moto?
sasa kama mzee mpili anaweza haya kwa nn lawama anapata nabi ?
 
Hii timu akabidhiwe mzee mpili tu
 
Amevunja sheria gani ya nchi? kuna watu wangapi hapo uwanjani wewe umemuona yeye tu?
 
Acha uoga wewe! Mpira unachezwa uwanjani.

Kama uchawi ungekuwa na nguvu kiasi hicho, basi kwenye ile mechi yenu na Orlando Pirates kule Afrika ya Kusini, mngeshinda 4-0.
 
Mmebaki kuwaza upuuzi tu kwaiyo unampangia mtu sehemu za kupita na kutembea? Kwenye watu wote waliopo hapo umemuona mzee mpili tu? Kama uchawi unafanya kazi mngeshinda kule south africa mlikowasha moto maana nyie ndo waasisi wa ushirikina mnajulikana
 
Acha uoga wewe! Mpira unachezwa uwanjani.

Kama uchawi ungekuwa na nguvu kiasi hicho, basi kwenye ile mechi yenu na Orlando Pirates kule Afrika ya Kusini, mngeshinda 4-0.
huu ndio uwekezaji wa ndani na nje ya uwanja mliowazidi al hilal
 
Mmebaki kuwaza upuuzi tu kwaiyo unampangia mtu sehemu za kupita na kutembea? Kwenye watu wote waliopo hapo umemuona mzee mpili tu? Kama uchawi unafanya kazi mngeshinda kule south africa mlikowasha moto maana nyie ndo waasisi wa ushirikina mnajulikana
umeandika kama una akili vile
kumbe ulirudia darasa la nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…