Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

View attachment 2393947Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja.

watakuja kufa bure bila sasa
wewe sio mchezaji unakuja kuangalia nini.

Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza uchawi uchawi uchawi tu
Na waarabu hawarogeki "mbwa nyinyi"
-lucy eymael

View attachment 2393948
sasa mzee mpili si kapita njia tu 🤣🤣🤣 tatz liko wapi
 
Si angeenda na Sudan,mamb Kam haya yanarudisha nyuma maendeleo ya mpira Anyway SIMBA MSIPANICK BADO MAPEMA😅😅😅,Tayar mzee kashaanz kuzicheza karata vizuuur kabisa
 
Acha uoga wewe! Mpira unachezwa uwanjani.

Kama uchawi ungekuwa na nguvu kiasi hicho, basi kwenye ile mechi yenu na Orlando Pirates kule Afrika ya Kusini, mngeshinda 4-0.
Au kwenge ile mechi ya Yanga na Hilal basi Yanga wangeshinda, me naamini hauna nguvu kiasi hicho ndiomaana mlifungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom