Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

sasa mzee mpili si kapita njia tu 🤣🤣🤣 tatz liko wapi
 
Si angeenda na Sudan,mamb Kam haya yanarudisha nyuma maendeleo ya mpira Anyway SIMBA MSIPANICK BADO MAPEMA😅😅😅,Tayar mzee kashaanz kuzicheza karata vizuuur kabisa
 
Acha uoga wewe! Mpira unachezwa uwanjani.

Kama uchawi ungekuwa na nguvu kiasi hicho, basi kwenye ile mechi yenu na Orlando Pirates kule Afrika ya Kusini, mngeshinda 4-0.
Au kwenge ile mechi ya Yanga na Hilal basi Yanga wangeshinda, me naamini hauna nguvu kiasi hicho ndiomaana mlifungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…