Salaam!
Nimesikia Mzee Mstaafu akidai Reforms zote muhimu zimeshafanyika.
Sasa ikiwa Reforms zimeshafanyika,
1. Je, Tundu lissu Yuko gerezani kwa kesi ya uhaini kwa tuhuma zipi?
2. Anashtakiwa uhaini juu ya Nini? Alitamka Nini au alishinikiza Nini na kumfanya awe jella?
3. Na ikiwa kweli pesa ya uchaguzi ipo na wapinzani wapo, kwanini kuendelea kuongelea Reforms zinazodaiwa na CHADEMA na umma wa watanzania?
Usikute pesa ya kufanyia uchaguzi haipo, hizi hadaa za midahalo fake, ni njama za kuwahadaa wafadhili kutia peesa kwa sirikali!
Wasiwasi ndio akili🤔
Karibuni 🙏