Mzee Msuya: Wanasiasa wakishayapata Madaraka husema "huu ndio wakati wetu na sisi tule"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Point kwa Point

Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema uzalendo ni swala la kiroho zaidi siyo kimwili

Kuwa mzalendo ni lazima kwanza uwe na UTU

Msuya amesema wanasiasa wamejaa Tamaa na Ubinafsi na pindi wapatapo Madaraka husema "huu ndio wakati na Sisi tule bila kusaza"

Source: ITV
 
Kama hawa wa sasa hivi ndio mchwa kabisa na hawamsaidii mama SSH kabisa zaidi ya matumbo yao na kujipanga kwa 2025!
 
Yes, tunaona mfano wa wale vijana walamba asali na wazee wao, wamechanganyikiwa kabisa, wanaropoka tu.
 
Point kwa Point

Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema uzalendo ni swala la kiroho zaidi siyo kimwili

Kuwa mzalendo ni lazima kwanza uwe na UTU

Msuya amesema wanasiasa wamejaa Tamaa na Ubinafsi na pindi wapatapo Madaraka husema "huu ndio wakati na Sisi tule bila kusaza"

Source: ITV
Umesikika mzee. Umebaini ugonjwa. Sasa tuendelee hivyo hivyo au tutafute dawa yake, na ipi na kwa vipi
 
Mzee Msuya naye amepata sauti yake back!,yeeeee na asidanganye watu kabisa,Mwanga,Makete, Ludewa hizi wilaya zimeanza pamoja na huyu mzee akiwa PM,sasa awe mkweli kilichopelekwa Mwanga ilikua ni haki yao au ndio ya kila kitu peleka Chato!
 
Hii nchi bila kuchapana tutalalama milele.

Na kuchapana hakuwezi kutokea hivi sasa ambapo wananchi wanachukia zaidi wakikosa connection lkn hawaguswi na kuchukizwa zaidi wakikosa haki zao za kikatiba
 
Mzee Msuya naye amepata sauti yake back!,yeeeee na asidanganye watu kabisa,Mwanga,Makete, Ludewa hizi wilaya zimeanza pamoja na huyu mzee akiwa PM,sasa awe mkweli kilichopelekwa Mwanga ilikua ni haki yao au ndio ya kila kitu peleka Chato!
Mbunge wa Makete Tuntemeke Sanga alikuwa anaishi hotelini Motel Agip jijini Dar sasa huko Makete angewateteaje?

Walipo.mshtukia ndio akaasisi Chadema akiwa na akina Mtei
 
No comments kabisa,Mr.Tuntemeke alijenga nyumba nzuri tu pale Lupaso village, sasa why akae Hotel Agip?kama ulikua unampikia siwezi bisha, ila Mr.Sanga alikua na nyumba yake

Back
Top Bottom