johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Angekula nchi hii ungeikuta?Kwani yeye hakula wakati wake
Ova
Akikujibu nishtue
Umesikika mzee. Umebaini ugonjwa. Sasa tuendelee hivyo hivyo au tutafute dawa yake, na ipi na kwa vipiPoint kwa Point
Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema uzalendo ni swala la kiroho zaidi siyo kimwili
Kuwa mzalendo ni lazima kwanza uwe na UTU
Msuya amesema wanasiasa wamejaa Tamaa na Ubinafsi na pindi wapatapo Madaraka husema "huu ndio wakati na Sisi tule bila kusaza"
Source: ITV
Mbunge wa Makete Tuntemeke Sanga alikuwa anaishi hotelini Motel Agip jijini Dar sasa huko Makete angewateteaje?Mzee Msuya naye amepata sauti yake back!,yeeeee na asidanganye watu kabisa,Mwanga,Makete, Ludewa hizi wilaya zimeanza pamoja na huyu mzee akiwa PM,sasa awe mkweli kilichopelekwa Mwanga ilikua ni haki yao au ndio ya kila kitu peleka Chato!
Mbunge wa Makete Tuntemeke Sanga alikuwa anaishi hotelini Motel Agip jijini Dar sasa huko Makete angewateteaje?
Walipo.mshtukia ndio akaasisi Chadema akiwa na akina Mtei
Tuntemeke Sanga alikuwa anaishi hotelini Motel Agip!No comments kabisa,Mr.Tuntemeke alijenga nyumba nzuri tu pale Lupaso village, sasa why akae Hotel Agip?kama ulikua unampikia siwezi bisha, ila Mr.Sanga alikua na nyumba yake
Du mkuu sikubishii maana mimi Sina facts, ila ninajua alijenga nyumba yake kijijini Lupaso,nimefika pale kijijini kwake na ushahidi huu ninao, ila w Hotel Agip sina kabisa, ukiniwekea hapa nitafurahi sanaTuntemeke Sanga alikuwa anaishi hotelini Motel Agip!
Hilo wahenga wote wanalijua
Hiyo haikuwa Siri BwasheeDu mkuu sikubishii maana mimi Sina facts, ila ninajua alijenga nyumba yake kijijini Lupaso,nimefika pale kijijini kwake na ushahidi huu ninao, ila w Hotel Agip sina kabisa, ukiniwekea hapa nitafurahi sana
Upo right mkuu mimi Sina facts siwezi kukubishia at allHiyo haikuwa Siri Bwashee