Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Asante kwa taarifa, mungu atamponya upesi.
 

Mpe pole sana. Kila nikiona daladala huwa nachukulia anayeendesha ni kichaa aliyeacha file lake milembe, hawafai hao.
 
Poleni sana mungu hatamjalia atapona..

dume unaweza kushikwa uchawi bureeee kumbe sio wewe ni vidole tu vinateleza!!

Mtambuzi pole sana kwa ajili, tunakutakia kheri upate matibabu ya uhakika na kwa msaada wa MUNGU utapona.
 
Pole sana Mzee Mtambuzi, Mungu akujalie upone haraka iwezekanavyo!
 
Pole sana mzee mtambuzi nakutakia kupona haraka. Asante sana mdada kwa taarifa, mwambie hayuko peke yake na sisi tuko pamoja nae.

Hawa madereva wa daladala wengi wao sio kabisa.
 
Belated.. Poleni sana.. Inasikitisha sana. Sijui hadi lini hawa madereva wa daladala watafuata utii wa sheria. Tupo pamoja katika sala Mzee Mtambuzi..
 
Pole sana mzee mtambuzi nakutakia kupona haraka. Asante sana mdada kwa taarifa, mwambie hayuko peke yake na sisi tuko pamoja nae.

Hawa madereva wa daladala wengi wao sio kabisa.
Salam zimefika mkuu,tuko pamoja.
 
Poleni sana!

Namwombea apone mapema na kurejea katika shughuli zake za kila siku za ujenzi wa taifa na familia yake.

Sikujua: Kumbe mtambuzi ni "mzee na ni baba yake Cantalasia?"

mtu na babae wajanja. wanajichanganya na jamii. vipi umewahi kusoma posts zao? zinafanana kifalsafa au kila mtu na lwake?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…