figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
amini Mungu pekee gentleman,Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi haja. Haitaweza kumuhoji Samia Suluhu wa Makunduchi.
Mzee Mwanakijiji kasema;
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025
Mwisho wa kunukuu.
CCM mumeshikwa Pabaya.
Mambo mengine huwa tunapenda kujisahaulisha tu.Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi haja. Haitaweza kumuhoji Samia Suluhu wa Makunduchi.
Mzee Mwanakijiji kasema;
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025
Mwisho wa kunukuu.
CCM mumeshikwa Pabaya.
Hiki ndio kina tafutwa.Ni suala la muda tu, watu watazuiliwa kuongelea nini kilichotokea Oct 29, kwasababu shauri lipo mahakaman