Mzee Mwinyi alikuwa na nafasi ya kuwa Baba wa Taifa wa pili baada ya Nyerere ila maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo

Huyo mama alikuwa kama ndiye Rais. Kuna wakati Mrema alikamata dhahabu uwanjani. Inasemekana ilikuwa ya Mama Sitti. Amri ikatoka juu ya kuachia mzigo. Nyerere alitamani kumtoa Mwinyi kabla ya muda wake kwisha. Sema sheria haikuruhusu. Ndio maana wazo la Mwinyi kuongezewa muda, alilitupilia mbali. Alikuwa anasubiri muda wa Mwinyi uishe kwa hamu kubwa.
Nakumbuka enzi zake, mke wake aliifanya ikulu kuwa ofisi ya wapiga deal, mpaka Nyerere akasema
 
Hata mzee Mwinyi ana yake mazuri, wahenga wanajua walipokuwa wanavaa migolole a.k kaunguza,
ukilifua rangi yote inaisha kinabaki kama sanda, mwacheni mzee Ruksa Mungu aendelee kumtunza.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Ninavyojua, baba wa taifa huwa ni mmoja tu. Marekani ni George Washington, China ni Mao Tse Tung na India ni Mahatma Gandhi. Wengine watabaki kuheshimika na kuenziwa kwa namna walivyotumikia taifa na kutoa mchango wao.
 
Yule mama alikuwa balaa baba alishindwa kumdhibiti kabisa alikuwa juu kweli,
Mkapa ndiye alipinga ikulu kuwa shamba la bibi kina mtu kwenda kutembelea kama beach .

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Angepewa nafasi angeishia kumsifu Magu yule mzee. Umeona mzee wa msoga alivyoitendea haki nafasi aliyopewa?
Sana. Mstaafu JK alinikosha sana kwa kuweka rekodi zote sawa
 
Sana. Mstaafu JK alinikosha sana kwa kuweka rekodi zote sawa
Maana kuna watu walishapindisha ili ionekane wao ndio smart than others and the former presidents did nothing.
 
Huyu mzee mwenye enzi Mungu amemjalia maisha marefu ana miaka 94 na bado yuko vizuri akili yake iko timamu kuliko sehemu kubwa ya member wa JF. Je hakuna cha kujifunza? Tafakari
Akili timamu ila akapungukiwa na busara tu
 
superbug,

Nyerere na Mkapa ni watu wa kanisa ndio maana baada ya Nyerere hadhi yake ikapewa Mkapa!

Huwezi kuwa baba wa Taifa hili kama wewe hukupitia au huna harufu ya U. SAINT aka st ........

Hiyo ndio kanuni na Makonda alishaweka wazi kuwa nani ni mtawala wa nchi hii na nchi iko chini ya nani. Wengine ni wapita njia tu.
 
Kwenye hotuba ya Magufuli alizungumzia jinsi nchi ilivyonyimwa pesa na wahisani lakini juhudi za Mkapa ziliwezesha misaada kurudi alipokuwa anasema hayo nilimwona Mwinyi kainamisha kichwa chini
 
Huyu mzee umri umesha kwenda sana, si kila ayasemayo yanafaa kuzingatiwa.
Kumbuka miaka Kdhaa 15 alipigwa kibao na mkereketwa wa kiislamu DSM katika Hafla ya Kiislamu pindi alipozungumzia CONDOM akishawishi zitumike wakati wa ngono ili kujikinga na ukimwi.
Lakin kosa si kusema hivyo kosa ni katika Hafla ya Kiislamu ,ya Maulidi mahali alipotatarajiwa akataze ngono zembe yeye akahamasish matumizi ya condom.

Tukio lile lilionesha kuwa Hajitambui tena kiivyo. na 'yatupasa tuchukulie simple' kwa ushauri wowote atakao utoa kwa sasa.
 
Mwinyi amejivunjia heshima sana katika hili.
 
Watoto waliozaliwa kuanzia 1995 hawawezi kujua umuhimu wa Mzee Mwinyi. Hawawezi kujua;
1.Kuna mdudu anaitwa chawa kwa sababu kuna sabuni za kila jina na aina sababu ya soko huria

2.Wanamiliki simu kwa sababu hawakuwahi kuona nguzo za simu zilikuwa zinapatikana mijini sababu ya soko huria.

3. Wanaendesha magari kwa sababu serikali ilijiondoa kufanya biashara.

4. Wapo kariakoo na maeneo mengine wanasafiri na kuagiza bidhaa toka nje kwa mitandao na meli. Sababu serikali ilijiondoa katika kazi ya kuwa pekee mwenye haki ya kuagiza na kutoa bidhaa (import + export)

5.Wanajenga au kuishi kwenye nyumba nzuri kwa kuwa hakuna kuulizwa uhujumu uchumi.

6. Wapo wanachama wa CUF,CHADEMA,NCCR,TLP nk. Kwa kuwa tu katiba inaruhusu mfumo wa vyama vingi.

7. Wana degree kupitia Shule za serikali na binafsi kwa kuwa serikali ilikubali sekta binafsi itoe huduma za kijamii.

8. Hawajui kuwa nguo inaweza wekwa viraka Kama tairi za gari,baiskeli au pikipiki wanazomiliki kwa kuwa Sasa hivi unanunua unachotaka ili mradi uweze zalisha na kufanya kazi.
9. Wanavaa viatu tena pair hata tatu kwa sababu kampuni ya Bora ina ushindani katika soko.
 
[QUOTE="Allency,
machadema mnashikwaga maskio nawatoto WA mjini kina lema na zito... endeleeni kukariri maujinga
 
Shukarani yake leo tunamdhihaki, tunamtusi na tunamdharau.
Kweli tenda wema uende zako.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…