Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Huyo mama alikuwa kama ndiye Rais. Kuna wakati Mrema alikamata dhahabu uwanjani. Inasemekana ilikuwa ya Mama Sitti. Amri ikatoka juu ya kuachia mzigo. Nyerere alitamani kumtoa Mwinyi kabla ya muda wake kwisha. Sema sheria haikuruhusu. Ndio maana wazo la Mwinyi kuongezewa muda, alilitupilia mbali. Alikuwa anasubiri muda wa Mwinyi uishe kwa hamu kubwa.
Nakumbuka enzi zake, mke wake aliifanya ikulu kuwa ofisi ya wapiga deal, mpaka Nyerere akasema