Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo.
Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa kwao kwenye fainali ambayo wao hulazimisha kuiita shirikisho.
Shuhuda wa aibu hiyo alikuwa rais mpendwa Al Hassan Mwinyi.
Mwaka huu historia imejirudia, mtoto wa Rais Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar ndugu Hussein Mwinyi, ameshuhudia simba ikidufuliwa na kuishia kuliona tu kombe.
Hongera sana Simba kwa kuandika historia hii makini.