MZEE NI YUPI JF?

Hii vita ya wazee na vijana itaisha lini?
Maofisini vijana hawataki wazee. Mitandaoni wazee hawataki vijana.
Hakuna aliyezaliwa Mzee na kijana wa Leo ni Mzee wa kesho.
Mzee ndiye mzazi wa kijana na kijana ni mtoto wa Mzee.
 
Wazee ni wale waliojiunga 2006 mpaka 2007,waliojiunga 2008-2009 ni wakongwe,2010-2012 ni wazawa >2013 ni VINEGA.
 

Mzee Ni yule mwenye umri mkubwa
 
Uzee unaendana na umri. Kwa Tanzania Mzee ni kuanzia miaka 50 na kuendelea. Rika ambalo halina jina ni miaka 45-49
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…