Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Form six hgl. Mlikuwa virembo.hahahaha napenda jina lako unanikumbusha miaka 25 nyuma enzi hzo mwanafunzi wa mwembetogwa
Ila kiuhalisia unaweza kukuta mtu kajiunga 2017 halafu ni mtu mzima.Wazee ni wale waliojiunga 2006 mpaka 2007,waliojiunga 2008-2009 ni wakongwe,2010-2012 ni wazawa >2013 ni VINEGA.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ila kiuhalisia unaweza kukuta mtu kajiunga 2017 halafu ni mtu mzima.
habari za usiku wakuu mara nimekuwa nikijiuliza mzee ni yupi kwa upande wa jf?
1.ni mtu ambaye kila post ujifanya mtu wa longtime kulog in jf
2.ni mtu ambaye upenda kuchangia na kusema jf ya zamani haikua hivyo bila kujua mambo ubadilika..
3..ujifanya mtu wa ya juu na kila post ucomment maisha ya juu tu..
-TAHADHARI HAPA..unatumia if fake ukifa tutakujua tu....
Hawa kwangu ni wazee wa jf na wamepitwa na wakatii...
Anakuwa kubwa jinga..Ila kiuhalisia unaweza kukuta mtu kajiunga 2017 halafu ni mtu mzima.