MZEE NI YUPI JF?

MZEE NI YUPI JF?

Hii vita ya wazee na vijana itaisha lini?
Maofisini vijana hawataki wazee. Mitandaoni wazee hawataki vijana.
Hakuna aliyezaliwa Mzee na kijana wa Leo ni Mzee wa kesho.
Mzee ndiye mzazi wa kijana na kijana ni mtoto wa Mzee.
 
Wazee ni wale waliojiunga 2006 mpaka 2007,waliojiunga 2008-2009 ni wakongwe,2010-2012 ni wazawa >2013 ni VINEGA.
 
habari za usiku wakuu mara nimekuwa nikijiuliza mzee ni yupi kwa upande wa jf?

1.ni mtu ambaye kila post ujifanya mtu wa longtime kulog in jf

2.ni mtu ambaye upenda kuchangia na kusema jf ya zamani haikua hivyo bila kujua mambo ubadilika..

3..ujifanya mtu wa ya juu na kila post ucomment maisha ya juu tu..
-TAHADHARI HAPA..unatumia if fake ukifa tutakujua tu....

Hawa kwangu ni wazee wa jf na wamepitwa na wakatii...

Mzee Ni yule mwenye umri mkubwa
 
Uzee unaendana na umri. Kwa Tanzania Mzee ni kuanzia miaka 50 na kuendelea. Rika ambalo halina jina ni miaka 45-49
 
Back
Top Bottom