Huyu na Mzee Stephen Mashishanga ni miongoni mwa wale walionyooshwa kwa kipindi chote cha miaka 10 cha Mzee wa msoga,inasemekana walikuwa kwenye kambi ya Sumaye.
Pia kulikuwa na msanii mmoja wa ngonjera aliitwa Salum Tambalizeni yeye alikuwa anampigia chapuo Salim Ahmed Salim kwa muda wote wa Mzee wa msoga hakuwahi kuitwa kutumbuiza kwenye kikao chochote cha CCM na hali yake ya maisha ikawa ngumu kabisa.
Kuna watu wana visasi vya hatari.
Post yako no 39 umemuandika nani? Uzi wa Banduka wewe unaleta story za Mashishanga