Alikuwa na uswahili mwingi sanaWema hawakatwi
Yule mzee roporopo aliyesema wema hawafi sijui kama tutamuone tena akisema wema hawafi,namuona kakaa kimya kajikunyata kama kifaranga kilichoroa, kwisha habari yake
WanatuchezeaYule mzee roporopo aliyesema wema hawafi sijui kama tutamuone tena akisema wema hawafi,namuona kakaa kimya kajikunyata kama kifaranga kilichoroa, kwisha habari yake
Yamkini kuna vita ya Urais hapo 2030, na aliona kabisa huyu January atasumbua akiendelea kuwa mbunge hivo ni bora achinjwe ili mwanae apate chance vizuri ya kung'araIla Msoga ni real snich ukianzia kwa lowasa mpaka huku
Sijui anapataga wapi ma Intelijensia; Marekani, Israel, Urusi au Rwanda?Ila Msoga ni real snich ukianzia kwa lowasa mpaka huku
Mafia GodfatherIla Msoga ni real snich ukianzia kwa lowasa mpaka huku
Kumbukeni kuna nafasi ya wabunge kumi wa kuteuliwa na Rais!. Pengine anaandaliwa kwa mtindo huo!CCM chama cha fitna, January kawafanya nn nyie watu.