Mzee Rungwe Wafukuze Hao Wakuja Mrema na Wenzake Wataua CHAUMMA

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,912
Reaction score
46,240
Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona.

Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani.

Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa kwa CHAUMMA ambacho mdogo mdogo kilishaanza kijitafuta na sisi wapenda ubwabwa tulikuwa tunamwelewa Mzee wetu.

Nashauri hawa mamluki wafukuzwe kabla hawajaleta tafrani hela zitakapowaishia.
C.c Mh. Hashim Rungwe

20250603_223155.jpg
 
😆😆😆😆😆 Sasa akifanya hivyo atapigaje mihela ya bure ya ccm?
 
Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona.

Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani.

Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa kwa CHAUMMA ambacho mdogo mdogo kilishaanza kijitafuta na sisi wapendwa ubwabwa tulikuwa tunamwelewa Mzee wetu.

Nashauri hawa mamluki wafukuzwe kabla hawajaleta tafrani hela zitakapowaishia.
C.c Mh. Hashim Rungwe
Wivu utakuua wewe.
 
Hashim Rungwe umri umeshakwenda na amechukua fungu lake la kutosha hana muda tena na hicho chama amewaachia hao walevi wahangaike nacho.
 
Maiti itakufa mara ngapi?
 
Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona.

Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani.

Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa kwa CHAUMMA ambacho mdogo mdogo kilishaanza kijitafuta na sisi wapenda ubwabwa tulikuwa tunamwelewa Mzee wetu.

Nashauri hawa mamluki wafukuzwe kabla hawajaleta tafrani hela zitakapowaishia.
C.c Mh. Hashim Rungwe
Gentleman,
naona unajaribu kupiga yowe ila sauti haitoki right?🐒
 
Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona.

Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani.

Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa kwa CHAUMMA ambacho mdogo mdogo kilishaanza kijitafuta na sisi wapenda ubwabwa tulikuwa tunamwelewa Mzee wetu.

Nashauri hawa mamluki wafukuzwe kabla hawajaleta tafrani hela zitakapowaishia.
C.c Mh. Hashim Rungwe
Akiwafukuza unataka awalete babaako na mamaako ndio wataleta nyomi? Ahahahahaha!!
 
Ndugu wazazi wangu wa nini hapa? Au unao wewe tu ndiyo una hati miliki ya matusi na wengine hawana?
 
Hao walioondoka kwenda chaumma ni madalali wananchi walikwisha wajua. muda mwingi jukwaani ni kuikandia chadema. chadema ni chama cha wananchi. HEAVY BRANDING!
 
Ndugu wazazi wangu wa nini hapa? Au unao wewe tu ndiyo una hati miliki ya matusi na wengine hawana?
Mkuu, mimi ni muumini wa "An eye for an eye". Hao unaowasema na kuwadharau nao ni wazazi au watoto wa wazazi wao. Kwahiyo, kama una uhuru wa kuwasema negatively kwa namna yoyote, basi usifikiri wewe, watoto wako au wazazi wako watakuwa salama!
 
Wapi nimewasema wazazi wako?
 
Kinachouma zaidi hawa wageni wanaiacha sera yetu ya ubwabwa mkutano mzima hawajagusia kuhusu ubwabwa🤣🤣🤣🤣wanapoteza utambulisho wetu wa chama
 
Attachments

  • Civil_officer_640p_20250519_152132.mp4
    857.1 KB
Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona.

Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani.

Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa kwa CHAUMMA ambacho mdogo mdogo kilishaanza kijitafuta na sisi wapenda ubwabwa tulikuwa tunamwelewa Mzee wetu.

Nashauri hawa mamluki wafukuzwe kabla hawajaleta tafrani hela zitakapowaishia.
C.c Mh. Hashim Rungwe
Si Punda alistukia game ndo maana hakutia team kabisa uwanjani. Aliwakilishwa na ng'ombe 🤣🤣🤣
 
Hashim Rungwe umri umeshakwenda na amechukua fungu lake la kutosha hana muda tena na hicho chama amewaachia hao walevi wahangaike nacho.

Nimecheka sana umenikumbusha jamaa flani aliletaga uzi humu jikwaani miaka ya nyuma akidai alipewa mchongo na wachina flani hivi kufuga nyoka wa sumu wale wachina wakawa wanakuja kukamua sumu hayo majoka na kumwachia jamaa mpunga mrefu badae wakamwambia apanue mradi aongeze nyoka zaidi akanunua shamba kubwa akaongeza uzalishaji cha ajabu wachina wakasepa jumla huku mijoka ikizidi kuzaliana jamaa akiwatafuta wachina hawapatikani ikawa week, miezi ikakata jamaa anaingia gharama za kulisha nyoka wanazidi kuzaana na kuongezeka ila jamaa wa kukamua sumu hawaji!

Jamaa akawa anaomba ushauri humu jinsi ya kuwaangamiza hao maelfu ya nyoka

Nakumbuka moja ya ushauri wa wadau walimshauri asubiri usiku mwingi awafungulie milango nyoka ili wasepe mitaani wakajitafutie riziki kuliko kuwaua😂
 
Back
Top Bottom