Tulishazoea bwana Spunda akipiga kampeni zake anakuja na kijimeza chake mc yeye yeye ,msanii yeye yeye, mnadi sera yeye yeye, mgombea yeye yeye hata dereva alikua yeye yeye anakuja hata sokoni anashusha meza juu ya gari anapiga sera
Akiona hamuelewi elewi huyoo anashusha masufuria ya ubwabwa maharaga anaanza kugawa hapo hapo,
Leo hii wana kila kitu ila wamejitokeza watu 150 na ng'ombe wanne