Mzee Rungwe Wafukuze Hao Wakuja Mrema na Wenzake Wataua CHAUMMA

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,912
Reaction score
46,240
Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona.

Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani.

Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa kwa CHAUMMA ambacho mdogo mdogo kilishaanza kijitafuta na sisi wapenda ubwabwa tulikuwa tunamwelewa Mzee wetu.

Nashauri hawa mamluki wafukuzwe kabla hawajaleta tafrani hela zitakapowaishia.
C.c Mh. Hashim Rungwe

😆😆😆😆😆 Sasa akifanya hivyo atapigaje mihela ya bure ya ccm?
 
Wivu utakuua wewe.
 
Hashim Rungwe umri umeshakwenda na amechukua fungu lake la kutosha hana muda tena na hicho chama amewaachia hao walevi wahangaike nacho.
 
Maiti itakufa mara ngapi?
 
Gentleman,
naona unajaribu kupiga yowe ila sauti haitoki right?🐒
 
Akiwafukuza unataka awalete babaako na mamaako ndio wataleta nyomi? Ahahahahaha!!
 
Akiwafukuza unataka awalete babaako na mamaako ndio wataleta nyomi? Ahahahahaha!!
Ndugu wazazi wangu wa nini hapa? Au unao wewe tu ndiyo una hati miliki ya matusi na wengine hawana?
 
Hao walioondoka kwenda chaumma ni madalali wananchi walikwisha wajua. muda mwingi jukwaani ni kuikandia chadema. chadema ni chama cha wananchi. HEAVY BRANDING!
 
Ndugu wazazi wangu wa nini hapa? Au unao wewe tu ndiyo una hati miliki ya matusi na wengine hawana?
Mkuu, mimi ni muumini wa "An eye for an eye". Hao unaowasema na kuwadharau nao ni wazazi au watoto wa wazazi wao. Kwahiyo, kama una uhuru wa kuwasema negatively kwa namna yoyote, basi usifikiri wewe, watoto wako au wazazi wako watakuwa salama!
 
Wapi nimewasema wazazi wako?
 
Kinachouma zaidi hawa wageni wanaiacha sera yetu ya ubwabwa mkutano mzima hawajagusia kuhusu ubwabwa🤣🤣🤣🤣wanapoteza utambulisho wetu wa chama
 
Attachments

  • Civil_officer_640p_20250519_152132.mp4
    857.1 KB
Si Punda alistukia game ndo maana hakutia team kabisa uwanjani. Aliwakilishwa na ng'ombe 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…