Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Itakuwa aibu kubwa sana kwa watu wenye akili timamu kuchagua wabunge wa CHADEMA

Corona lilikuwa janga ambalo halikutegemewa na hakuna aliyekuwa na uzoefu nalo!Kila mtu alipambana kwa namna yake kutokana na kutojua ugonjwa huu kwa kina!
Wabunge wa upinzani nao wakaona watoke bungeni kwa muda maana gonjwa lilikuwa limebisha hodi huko!Wengine wakabaki na bahati mbaya wawili wakafa!
Kama walivyofanya wapinzani,JPM naye aliikimbia ikulu ya DSM na kwenda Dodoma,hii ilikuwa baada ya gonjaa kutua dar!Virus walipotinga Dodoma,JPM akakimbilia Chato na akajificha huko kwa zaidi ya mwezi!
Kama huyu mzee anasema tusichague wabunge kwa sababu ya kukimbia Corona,basi awaambie wasimchague JPM pia maana na yeye alikimbia ikulu na kwenda kujificha Chato mpaka alipogundua gonjwa sio tishio!
Sasa mbona walivuta posho na kudanganya wapo Dodoma? JPM mnasingizia tu,hakukimbia kitu kwani Corona virus haiwezi kufika Chato?
 
Posho waliyopewa ni ya kujikimu maana kuna posho za aina mbili!Kuna posho ya kikao na kuna posho ya kujikimu!Hii ya kujikimu hutolewa kwa kila mbunge bila kujali kama umehudhuria bunge au la!Na miaka yote imekuwa hivyo na ndio maana huwa inaingizwa kwa mkupuo!Posho ya kikao ni mpaka uhudhurie kikao!
JPM alikwenda kuhificha Chato,hilo kila mtu anajua!Maeneo ya vijijini ndio yalikuwa salama zaidi maana muingiliano ni mdogo!
 
Ndio umetumwa kudanganya huu ujinga? Kujikimu ili uhudhurie kikao ukiwa dodoma. Ni wasio na akili na wajinga utawadanganya.
 
Siku mjukuu wake akitekwa asije kutulilia hapa.
 
Hamna upunguani mkubwa kama kuchagua kuongozwa na CCM, Hivi hawaoni aibu baada ya miaka 60 ya Uhuru bado wanaahidi Wananchi
 
Kwa hiyo kama ifika miaka sitini ndio nchi inasimama kutekeleza miradi.
 
Ni maoni yake, binafsi sielewi wanaochagua wabunge wa ccm wanawaza nn?
 
Ndio umetumwa kudanganya huu ujinga? Kujikimu ili uhudhurie kikao ukiwa dodoma. Ni wasio na akili na wajinga utawadanganya.
Kuuliza sio ujinga!Mtafute mtu mwenye uelewa akuelimishe juu ya posho wanazopata wabunge!
Posho ya kikao (sitting allowance)huwezi kuipata mpaka usaini mahudhurio!Ila posho ya kujikimu hutolewa kwa wabunge wote kipindi cha vikao vya bunge!
Kabla hujanijibu jiridhishe kwanza kwa mtu mwenye uelewa na hili!
 
Ni maoni yake, binafsi sielewi wanaochagua wabunge wa ccm wanawaza nn?
Ni maoni yake lakini. Kuna hoja ya msingi hapo, watu kula posho na kuacha kuwatumikia wananchi. Hawafai kuchaguliwa.
 
Kuuliza sio ujinga!Mtafute mtu mwenye uelewa akuelimishe juu ya posho wanazopata wabunge!
Posho ya kikao (sitting allowance)huwezi kuipata mpaka usaini mahudhurio!Ila posho ya kujikimu hutolewa kwa wabunge wote kipindi cha vikao vya bunge!
Kabla hujanijibu jiridhishe kwanza kwa mtu mwenye uelewa na hili!
Yaani upewe posho ya kujikimu bure tu? Hata kama Mzee Shomari hajasoma huwezi kumdaganya. Posho ya kujikimu kipindi cha vikao ili uhudhurie. Sio ujikimu alafu ulale nyumbani au uende Dar kula bata.
 
Ambacho hujaelewa ni kipi?Uamuzi ulifikiwa huku posho hizo wakiwa tayari wameshapewa!Ila kama issue ni pesa,walirudisha!
Ambacho unatakiwa uelewe ni kuwa mtu kama Mkono ambaye ana miaka hajakanyaga bungeni ,posho hii anaipata!Wabunge wahudhurie vikao au wasihudhurie,hii pesa huwa wanapewa kabla!Haihusiani na posho ya vikao!
Nimekwambia tafuta mtu akuelimishe kwanza ili uje ukiwa una uelewa!
JPM aliyejipa likizo aliendelea kula posho kwa miezi miwili akiwa chato huku ametelekeza ikulu!
 
Sio kweli kuhusu mkono kulipwa hii posho. Weka uthibitisho? Hii posho unalipwa ukiwa Dodoma kipindi cha bunge.
JPM hakuwa likizo, alikuwa anafanya kazi. Umesahau aliipisha viongozi akiwa Chato!
 
Je,nikihudhuria vikao 7,posho hii ya kujikimu itakuwa tofauti na yule aliyehudhuria vikao 12?Hapo mtarofautiana sitting allowance tu ila ya kujikimu wote ni sawa!
Yaani unabariki huu upuuzi Rais anaapisha watendaji sebuleni kwake kisa kakimbia ofisi kukwepa Corona?Hii ni mara ya kwanza!
 
We la msingi chukua ujumbe wake tu. Mambo ya udini achana nayo. Tumia akili timamu,usichague wasaliti.
Hizi ngonjera za Wadangaji tumeshazizoea, tafuteni beat nyingine. Vijana mnashindwa kufanya kazi mnaishi kwa kutegemea posho za wagombea wa CCM?
 
Huyo mzee ndio anataka tuchague watu wa namna hii kweli?
Screenshot_20200906-121006.png
Screenshot_20200905-225015.png
 
Kwani wewe uliona ni sawa wabunge kuchukua pesa za kujikimu kisha kukimbilia Dar na kula bata?
Kwani wewe hukujua ktk kipindi hicho taifa lilikuwa ktk tishio la COVID-19 sambamba na nchi nyingine ulimwenguni kote?
 
Back
Top Bottom