Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Itakuwa aibu kubwa sana kwa watu wenye akili timamu kuchagua wabunge wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Itakuwa aibu kubwa sana kwa watu wenye akili timamu kuchagua wabunge wa CHADEMA

Kwani wewe hukujua ktk kipindi hicho taifa lilikuwa ktk tishio la COVID-19 sambamba na nchi nyingine ulimwenguni kote?
Walitakiwa wasichukue mpunga alafu waende zao. Lakini huo ni usaliti, mbona wa Ccm waliendelea na wamaliza.
 
Hizi ngonjera za Wadangaji tumeshazizoea, tafuteni beat nyingine. Vijana mnashindwa kufaniya kazi mnaishi kwa kutegemea posho za wagombea wa CCM?
Umechukia mzee Shomari kusema ukweli? Mgombea gani anamlipa Mzee Shomari?
 
Mzee shomari ndio nani?, kwani yeye ndio anatuendeshea maisha yetu. Tunachagua upinzani kwa sababu CCM wameacha Ilani yao wameamua kuuwa na kuteka watu. Sasa sisi watanzania hatujazoeshwa hivyo na waasisi wetu
 
Yaani mfa maji haachi kutapatapa....hivi unaweza kupost utopolo kama huo na kushangilia kabisaaa kuwa umepost points katika kipindi cha uchaguzi mkuu. live kijana wa tanzania kabisaaaa?
 
Yaani mfa maji haachi kutapatapa....hivi unaweza kupost utopolo kama huo na kushangilia kabisaaa kuwa umepost points katika kipindi cha uchaguzi mkuu. live kijana wa tanzania kabisaaaa?
Kama mtapata wabunge wawili ndio utajua Shomari alikuwa sahihi.
 
Ni bora uchague wa upinzani kuliko wale ambao kila kitu ndio na kugonga meza
 
Nendeni jimboni kwa Ndugai,Mlinga,Nape muone kama kuna neema tokana na bajeti waliyopitisha. Lugha za kishamba hizo hazina nafasi kwa wenye uelewa.
 
Back
Top Bottom