Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitukane wazee wewe.
Kama mtapata wabunge wawili ndio utajua Shomari alikuwa sahihi.Yaani mfa maji haachi kutapatapa....hivi unaweza kupost utopolo kama huo na kushangilia kabisaaa kuwa umepost points katika kipindi cha uchaguzi mkuu. live kijana wa tanzania kabisaaaa?
Muombe Mungu apunguze umri wako wa kuishi amuongezee huyu mzee ili aishi umri mrefu zaidi,huyu mzee mtu muhimu sanaMzee Shomari Mungu ampe afya njema na maisha marefu.
Tyr nishampasia mzee Shomari 20yrs.Muombe Mungu apunguze umri wako wa kuishi amuongezee huyu mzee ili aishi umri mrefu zaidi,huyu mzee mtu muhimu sana
Giza limekaribia sanaMzee Shomari Mungu ampe afya njema na maisha marefu.
Umeme upo mpaka vijijini utamulika.Giza limekaribia sana
Atakuwa kalala usingizi wa mileleUmeme upo mpaka vijijini utamulika.
Mwanga wa milele utamuangazia.Atakuwa kalala usingizi wa milele
Huko sasa tunamuachia Mungu hatudhubutu kusemaMwanga wa milele utamuangazia.