Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Mgombea urais wa CHADEMA hana nia njema na Watanzania wa kipato cha chini, hastahili kupata kura hata moja

Mnaitwa Wanyonge Masikini Mnafurahi kama Mazuzu watoto wenu wanazunguka na mabahasa kutafuta kazi na hawapati wanaambiwa wakajiajiri
 
Mnaitwa Wanyonge Masikini Mnafurahi kama Mazuzu watoto wenu wanazunguka na mabahasa kutafuta kazi na hawapati wanaambiwa wakajiajiri
Kwa hiyo ndio sababu ya kuruhushu kuuza nafaka nje ya nchi hovyo? Bila kujali athari ya watu wa ndani?

Kujiajiri ndio dili wewe utakaa umeajiriwa mpala lini?
 
Kumbe wajinga wanapozeeka hawawezi kuwa na hekima,wanaendelea kuwa wajinga na kuongea ya kijinga!!!!!
 
Kuw mkulima ndio lazima uuze mazao holela nje ya nchi?
Sio holela wewe zuzu ni anauza katika soko analotaka yeye.
Yani mkulima alime yeye kwa gharama zake uje umpangie bei ya kuuza ili wewe ule kwa gharama kidogo.?
 
Huyu mzee muuza tumbaku ndiyo siraha ya CCM [emoji16]
 
Lisu ni Mkenya, kasema mwenyewe
 
Mzee acha kuvuta bangi
 
Maendeleo ya watu yataleta maendeleo ya vitu , kila Mtu atajijengea barabara yake si tunauwezo na hata shule na hospital .hizi barabara za jumuiya na shule na hospital ni za kijimaa na zinajengwa na wajamaa/ Wakoministi/wasocialist zinakuwa za kishamba shamba in saccos policy
 
Hivi so kuna sheria ya kodi ?, Sasa utabambikiwa vipi hiyo kodi ??
Au unakuwa na wewe una madudu yako ndio unaruhusu jamaa wapitie hapo hapo
 
Daah kwa hoja hizi bado sana,

Anyway kwahiyo hiyo miundombinu tunayoiona mkipiga picha mkiwa ulaya kusambaza sumu imejengwa na watu binafsi??
 
Yaani mkulima wa Kavuu Mpanda alime mahindi yake kwa jasho wewe unakalia kupost upuuzi wa kupamba wanaume wenzio JF, halafu mtumie serikali yenu kulazimisha watu wawauzie kwa bei ya chini?
 
hilo ni tatizo la kuvamia fani huyo abaki na fani yake ya uwakili urais siyo mchezo anawadanganya watu wauze chakula nje hapo lazima bei ya nje itakuwa kubwa kwahiyo watakomba chakula chote halafu njaa ikiingia anaanza safari za kwenda kwa mabeberu wake kuomba chakula sasa hivi nchi inaheshima hatuombi sana chakula ni zarau ya nchi yenye ardhi kubwa kama tz kuomba chakula huyo hatufai hata kura mbili asipate maana moja atajipigia mwenyewe
 
Yaani mkulima wa Kavuu Mpanda alime mahindi yake kwa jasho wewe unakalia kupost upuuzi wa kupamba wanaume wenzio JF, halafu mtumie serikali yenu kulazimisha watu wawauzie kwa bei ya chini?
Nafikiri ukinunua unga kwa sh 3000 kwa kilo ndio utajua Mzee Shomari anamzidi baba yako akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…