Uwazitu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 1,419
- 1,397
Kwa hiyo sasa hivi kodi zinawakomoa watanzania? Unajua kanuni za kukusanya kodi zipo vipi?
Soma na kuelewa HOJA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo sasa hivi kodi zinawakomoa watanzania? Unajua kanuni za kukusanya kodi zipo vipi?
Mnaitwa Wanyonge Masikini Mnafurahi kama Mazuzu watoto wenu wanazunguka na mabahasa kutafuta kazi na hawapati wanaambiwa wakajiajiriMimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa Chadema wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.
Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.
Sasa basi kama mgombea wa Chadema akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.
Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
Kwa hiyo ndio sababu ya kuruhushu kuuza nafaka nje ya nchi hovyo? Bila kujali athari ya watu wa ndani?Mnaitwa Wanyonge Masikini Mnafurahi kama Mazuzu watoto wenu wanazunguka na mabahasa kutafuta kazi na hawapati wanaambiwa wakajiajiri
Soma iyoAnaona umati wa Lissu kweli huyu Mzee au anajiabisha tu? Pale hakuna 5,000 wala mabus wala kina Diamond. Ni upepo wa Lissu tu.
Sio holela wewe zuzu ni anauza katika soko analotaka yeye.Kuw mkulima ndio lazima uuze mazao holela nje ya nchi?
Huyu mzee muuza tumbaku ndiyo siraha ya CCM [emoji16]Mimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa Chadema wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.
Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.
Sasa basi kama mgombea wa Chadema akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.
Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
Labda msombe watoto wote wa shuleKwa upande wa kigoma tayari tumeizika chadema kama kuna mtu anabisha ataona kesho lake tanganyika
Lisu ni Mkenya, kasema mwenyeweMimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa Chadema wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.
Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.
Sasa basi kama mgombea wa Chadema akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.
Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
Mzee acha kuvuta bangiMimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa Chadema wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.
Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.
Sasa basi kama mgombea wa Chadema akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.
Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
Maendeleo ya watu yataleta maendeleo ya vitu , kila Mtu atajijengea barabara yake si tunauwezo na hata shule na hospital .hizi barabara za jumuiya na shule na hospital ni za kijimaa na zinajengwa na wajamaa/ Wakoministi/wasocialist zinakuwa za kishamba shamba in saccos policyHiyo nchi itayoongozwa na Lisu ni ya kusadikika.
Maajabu matupu.
Yaani jamaa hakusanyi kodi lakini atatoa huduma za afya bure , elimu bure, tutajua kingereza kama wazungu, atapandisha mishahara kila mwaka na hatajenga hata sentimita moja iwe ya daraja au bara bara.
Vilaza kama huyu ndo mtaji wa ccm.. kwa hiyo unataka utekaji na maovu mengine uendelee?Kuw mkulima ndio lazima uuze mazao holela nje ya nchi?
Hivi so kuna sheria ya kodi ?, Sasa utabambikiwa vipi hiyo kodi ??Acha basi KUPOTOSHA WATANZANIA.
NI WAPI NA LINI ALISEMA HATAKUSANYA KODI?
ALISEMA "UTOZAJI KODI UTAFANYWA KUWA RAFIKI, NA SIYO KAMA ILIVYOSASA AMBAPO KODI HUTUMIKA PIA KUKOMOA WAFANYABIASHARA KWA NGO YA KISIASA AU CHUKI BINAFSI"
UKWELI UTAKUWEKA HURU.
Daah kwa hoja hizi bado sana,Maendeleo ya watu yataleta maendeleo ya vitu , kila Mtu atajijengea barabara yake si tunauwezo na hata shule na hospital .hizi barabara za jumuiya na shule na hospital ni za kijimaa na zinajengwa na wajamaa/ Wakoministi/wasocialist zinakuwa za kishamba shamba in saccos policy
Yaani mkulima wa Kavuu Mpanda alime mahindi yake kwa jasho wewe unakalia kupost upuuzi wa kupamba wanaume wenzio JF, halafu mtumie serikali yenu kulazimisha watu wawauzie kwa bei ya chini?Mimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa Chadema wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.
Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.
Sasa basi kama mgombea wa Chadema akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.
Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
hilo ni tatizo la kuvamia fani huyo abaki na fani yake ya uwakili urais siyo mchezo anawadanganya watu wauze chakula nje hapo lazima bei ya nje itakuwa kubwa kwahiyo watakomba chakula chote halafu njaa ikiingia anaanza safari za kwenda kwa mabeberu wake kuomba chakula sasa hivi nchi inaheshima hatuombi sana chakula ni zarau ya nchi yenye ardhi kubwa kama tz kuomba chakula huyo hatufai hata kura mbili asipate maana moja atajipigia mwenyeweMimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa Chadema wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.
Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.
Sasa basi kama mgombea wa Chadema akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.
Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
Nafikiri ukinunua unga kwa sh 3000 kwa kilo ndio utajua Mzee Shomari anamzidi baba yako akili.Yaani mkulima wa Kavuu Mpanda alime mahindi yake kwa jasho wewe unakalia kupost upuuzi wa kupamba wanaume wenzio JF, halafu mtumie serikali yenu kulazimisha watu wawauzie kwa bei ya chini?
Lakini hao siyo wapiga kuera wanaenda kuangalia mavyumaAnaona umati wa Lissu kweli huyu Mzee au anajiabisha tu? Pale hakuna 5,000 wala mabus wala kina Diamond. Ni upepo wa Lissu tu.