Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Ukweli ndio huu anasisitiza huyu mzee. Anasema kura inazoenda kupata Ccm zaidi ya 95% ni zawadi kwa JPM na chama cha mapinduzi.
Mfano tu kodi ilikuwa inakusanywa kwa wastani wa bil 800 lakini kwa muda wa miaka minne imefikia wastani wa tril 1.6. Hapo kwa nini wakulima na wafanyakazi wasimshukuru JPM kwa kura lukuki?
Elimu bure kwa kuanzia msingi mpaka sekondari kwa nini wakulima na wafanyakazi wasimshukuru JPM kwa kusomesha watoto wao bure?
Upatikanaji wa haki je? Mzee shomari anasema hii nchi iligeuzwa ya wenye pesa.
Masikini walizdhurumiwa mali zao na haki zao. Leo hii utamdhurumu nani? Wanyonge na maskini lazima wamshukuru JPM kwa kura lukuki.
Mzee anahoji swali la msingi hivi hawa wapinzani uchwala kama Chadema hawana uzalendo kuona kwamba sasa tuna kiongozi mkuu anaefaa?
Kwanini wanakuwa wanafiki? Basi hawafai kupata hata kura 2.