Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Oktoba mwaka huu watanzania wanatoa zawadi za shukurani kwa Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Oktoba mwaka huu watanzania wanatoa zawadi za shukurani kwa Dkt. Magufuli

Ukimuuliza hayo anakuona mjinga. Maana Mil 50 na kituo cha afya cha bil 1 kipi bora? Hajasoma ila wajinga kama wewe huwa anawacheka
CCM wamewekeza kwenye Ujinga
Mfano Mzuri ni Mzee Shomari
 
CCM wamewekeza kwenye Ujinga
Mfano Mzuri ni Mzee Shomari
Nafikiri ungejibu swali. Kipi bora? Mil 50 kwa kijiji chenye watu elfu kumi au kituo cha afya cha bil 1, ungeonekan una akili kiduchu.
 
Nafikiri ungejibu swali. Kipi bora? Mil 50 kwa kijiji chenye watu elfu kumi au kituo cha afya cha bil 1, ungeonekan una akili kiduchu.
Kijijini kwetu hakuna Mil50 wala kituo cha Afya
CCM wamewekeza sana kwenye ujinga kama wenu
 
Back
Top Bottom