Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Oktoba mwaka huu watanzania wanatoa zawadi za shukurani kwa Dkt. Magufuli

Hana shida nazo maana amelidhika na anachokipata. Yeye anazungumzia ukweli
Mzee Shomari aende clouds kuchukua Nafasi ya Hassan Ngoma,huenda akaonwa na yeye
 
Ukimuuliza hayo anakuona mjinga. Maana Mil 50 na kituo cha afya cha bil 1 kipi bora? Hajasoma ila wajinga kama wewe huwa anawacheka
CCM wamewekeza kwenye Ujinga
Mfano Mzuri ni Mzee Shomari
 
CCM wamewekeza kwenye Ujinga
Mfano Mzuri ni Mzee Shomari
Nafikiri ungejibu swali. Kipi bora? Mil 50 kwa kijiji chenye watu elfu kumi au kituo cha afya cha bil 1, ungeonekan una akili kiduchu.
 
Nafikiri ungejibu swali. Kipi bora? Mil 50 kwa kijiji chenye watu elfu kumi au kituo cha afya cha bil 1, ungeonekan una akili kiduchu.
Kijijini kwetu hakuna Mil50 wala kituo cha Afya
CCM wamewekeza sana kwenye ujinga kama wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…