Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mzee Wasira anashangazwa na taarifa za mainjinia kukosa ajira. Wakati huo yeye mwenyewe anawahi kujiajiri bali anaishi kwa kuajiriwa toka miaka ya 1970.
Ukimuuliza kwanini amegonga kustaafu na kukaa pembeni anadai bado ana nguvu na anakubalika na watawala. Ukihoji kwa maisha yake yote ni kipi amewahi kufanya hakuna anayeweza kuonyesha amelifanyia nini Taifa.
Wazee hawa wanapoendelea kukaa madarakani wanashindwa kuelewa kwamba wanakwamisha fikra mpya na hivyo kuzuia watu zaidi kuajiriwa.
Ni muda sasa wazee wa umri wa akina Wasira wakaondoka kwenye bodi waache kazi hizo zifanywe na vijana wanaotafuta ajira. Duniani inakimbilia kwenye technology je akina Wasira wanaweza kubuni miradi inayoendana na wakati?