Uchaguzi 2020 Mzee Sumaye ahoji wapi alipo Mbowe katika kampeni za Lissu

Bado anaiwaza Chadema?😀

Ataomba poo mwaka huu
 
Usiwaamini wanasiasa hasa wa ccm, Sumaye hapo moyoni anafurahia mziki anaochezeshwa JPM na Lissu.
 
Aanze kwanza kuhoji yanayohusu chama chake. Wapi alipo Mangula kwenye kampeni za Magufuli? Au baada ya jaribio la kumtoa uhai hana uwezo wa kuongea jukwaani?
 
Huyu Mr,0 anaongea nini huyu bwege kuchumia tumbo
 
Mimi ni mwana ccm lakini kamati kuu ya chadema ingempitisha Nyalandu kuwa ndio mgombea wa chadema, asee ccm ingeshinda kwa zaidi ya 99%,walau Lisu kaleta changamoto kidogo na i hope ameuchangamsha huu uchaguzi wa mwaka huu.
 
Huyu ni zero brain kabisa asome taratibu za tume mgombea ubunge hairuhusu kuzunguka nje ya eneo lake kuomba kura
 
Mimi sishabikii chama chochote lakini hoja nyingine ukizisikia unashangaa.
Mbowe naye sinimgombea sasa ataachia jimbo liende apigie mtu kampeni.
Mbona mwaka 2015 alizunguka na Lowassa na Hai akafanya kampeni siku kumi.
 
Malaya wa kisiasa huyu! Kwani hajui kama Mbowe yuko kwenye kampeni jimboni kwake?
 
Akina sumaye ndo vichwa vya CCM [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sishabikii chama chochote lakini hoja nyingine ukizisikia unashangaa.
Mbowe naye sinimgombea sasa ataachia jimbo liende apigie mtu kampeni.
Kipindi kile alipokuwa anazunguka na lowasa hakuwa mgombea?

Mbowe ameshajua magufuli atashinda kwa kishindo ameona asipoteze muda na mbeligiji
 
🤔
Yupo tallying centre

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app

Ndio amewahi hivyo😁😁😁😁
Atakosa mwana na maji ya moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…