Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hawana umoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwana ccm lakini kamati kuu ya chadema ingempitisha Nyalandu kuwa ndio mgombea wa chadema, asee ccm ingeshinda kwa zaidi ya 99%,walau Lisu kaleta changamoto kidogo na i hope ameuchangamsha huu uchaguzi wa mwaka huu.
Mimi ni mwana ccm lakini kamati kuu ya chadema ingempitisha Nyalandu kuwa ndio mgombea wa chadema, asee ccm ingeshinda kwa zaidi ya 99%,walau Lisu kaleta changamoto kidogo na i hope ameuchangamsha huu uchaguzi wa mwaka huu.
Mbona mwaka 2015 alizunguka na Lowassa na Hai akafanya kampeni siku kumi.
Sawa ny.umbu nilikuwa sijuiKanuni zimebadilika tupo 2020 taga wewe
Mnyika nae anakazi gani?Lowasa alikuwa na hela za bure na alikuwa hawezi kuongea jukwaani. Isitoshe Mbowe ndio aliyepokea hela ya Lowassa na viongozi kadhaa wa cdm, hivyo aliwajibika kuzunguka na kimeo chake. Lisu ni mgombea mwenye baraka zetu washabiki na wanachama, na hana hela za wizi kama Lowasa, isitoshe analimudu jukwaa vyema bila msaada wa mpambe yoyote.
Mimi sishabikii chama chochote lakini hoja nyingine ukizisikia unashangaa.
Mbowe naye sinimgombea sasa ataachia jimbo liende apigie mtu kampeni.
Kuwa na adabu kidogoSumaye aache umalaya
Sumaye aache umalaya wa kisiasa.
Upinzani ndio malaya,wanaotoka CCM nakupokelewa huko Ni wanunuzi tu.
Ngoja nicheke tu,kwa hiyo amemtosa Lissu sababu hana pesa! Kumudu jukwaa sio sababu ya mwenyekiti wa chama taifa kuacha kumsapoti mgombea wake.Lowasa alikuwa na hela za bure na alikuwa hawezi kuongea jukwaani. Isitoshe Mbowe ndio aliyepokea hela ya Lowassa na viongozi kadhaa wa cdm, hivyo aliwajibika kuzunguka na kimeo chake. Lisu ni mgombea mwenye baraka zetu washabiki na wanachama, na hana hela za wizi kama Lowasa, isitoshe analimudu jukwaa vyema bila msaada wa mpambe yoyote.
Uhalisia nikua kamati kuu haikuana mpango na Lisu wao walimtaka Nyarandu kwakua alisha jipanga katika swala la fedha za kampen. Walipo ona kuna shinikizo kutoka kwa wanachama wakaonaona isiwe tabu wamwachie Lisu msala alafu wao wa mute. Wanajua Lisu hawezi kutoboa na ndicho kinacho tokea
Muulize Mnyika mbona amekaa tu ofisini hasaidii kufanya kampeni nae hagombei jimbo lolote?
Alafu LISSU anajitosheleza, MaCCM kayakamata mbaka yanaogopa,Mimi sishabikii chama chochote lakini hoja nyingine ukizisikia unashangaa.
Mbowe naye sinimgombea sasa ataachia jimbo liende apigie mtu kampeni.
Ngoja nicheke tu,kwa hiyo amemtosa Lissu sababu hana pesa! Kumudu jukwaa sio sababu ya mwenyekiti wa chama taifa kuacha kumsapoti mgombea wake.
Jamaa baada ya kichapo anarudi ulaya, maana kichapo kipo palepale. Lissu ataleta mabadiliko Cdm? Wapambe wa Lissu mtaumia sana.Amemkacha wakati Lisu ndio mwenye mvuto kuliko yeye. Kwa taarifa yako Lisu ndio roho ya cdm na sio kiongozi yoyote ndani ya cdm, na hata hii sisi wapinzani kwenda kupiga kura, ni kwakuwa Lisu anagombea. Hao akina Mbowe walishatepeta na kwenda kuomba muafaka wa kipuuzi. Kama kuna muda nilimdharau Mbowe na viongozi wenzake, ni pale walipokodisha ndege na kwenda kwenye Sherehe za Uhuru kutaka muafaka wa kitaifa. Toka siku ile nilijua Mbowe hana jipya. Na hata sasa inabidi wapinzani wakae vizuri na Mbowe, maana anaweza kutumika na ccm kupooza mashambulizi ya Lisu.
Hili ndo linawanyima usingizi ccm jamaa anajua sheria anajua kuongea ana data za kila sehemu haogopi chochote si mapolic wa Bomu sasa kuna haja gani ya kumnadi mtu kama huyu yeye anajiuzaLowasa alikuwa na hela za bure na alikuwa hawezi kuongea jukwaani. Isitoshe Mbowe ndio aliyepokea hela ya Lowassa na viongozi kadhaa wa cdm, hivyo aliwajibika kuzunguka na kimeo chake. Lisu ni mgombea mwenye baraka zetu washabiki na wanachama, na hana hela za wizi kama Lowasa, isitoshe analimudu jukwaa vyema bila msaada wa mpambe yoyote.