Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Uislam hauendeshwi kwa mawazo na busara zako, uislam unaendeshwa kwa kufata Quran na SunnahMimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu. Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
View attachment 2585799
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long
Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni
Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....
Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Ni ukengeufu hata biblia haijaainisha hvyo, imeainisha vilevile waislamu wanavyof
Ni
Sawa mvaa kobasiMzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
View attachment 2585799
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long
Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni
Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....
Wakristo tuendelee kuchukua notisi
hata biblia haijaainisha hvyo, imeainisha vilevile waislamu wanavyofanya
Kuwahi au kutowahi kumzika mtu sio big issue. Kuna jamaa muislam post 10 kaeleza vema sana. Saa zingine mtu kazimia tu we mnawahi kumpiga kitutaSehemu na wakati ambapo nawakubali sana Waislamu ni kwenye misiba na ndoa, wana unyama mno
Tuwekee hiyo HadithiMimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Umenikumbusha mwaka 2010 Mwanza kuna bibi ilisemekana kafariki taratibu za mazishi zikaanza wakati wa kuosha mwili kuna mama alisema anahisi bibi anapumua wakampuuza kwamba anaogopa maiti...wamemweka kwenye jeneza wakati wanampulizia perfum akapiga chafya watu.ndio kutoka mbio... kumbe ki bibi kilipoteza tu fahamu.Kuwahi au kutowahi kumzika mtu sio big issue. Kuna jamaa muislam post 10 kaeleza vema sana. Saa zingine mtu kazimia tu we mnawahi kumpiga kituta.
Kama watu mna uwezo hakuna ubaya kuchelewa kuzika kuwapa nafasi na wengine kushiriki ibada ya mazishi. Maana kuhudhuria mazishi ni ibada na ukumbusho pia.
Nakubali nakubali mzee wangu, unakuta mtu ameamua kupumzika kwa muda mrefu labla amepumzika kwa siku mbili mfululizo afu raia wanataka kumuwahisha kwa Sir. God 😂Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Sio Imani Yao Mila za mwarabu. Afrika kiasili na kimila lazima watoto wake kwanza na alikuwa anahifadhiwa ndani kwa kukandwa na chunviImani yao inawatuma hivo
Chai hiiiiiUmenikumbusha mwaka 2010 Mwanza kuna bibi ilisemekana kafariki taratibu za mazishi zikaanza wakati wa kuosha mwili kuna mama alisema anahisi bibi anapumua wakampuuza kwamba anaogopa maiti...wamemweka kwenye jeneza wakati wanampulizia perfum akapiga chafya watu.ndio kutoka mbio... kumbe ki bibi kilipoteza tu fahamu.
Yah ameelezea vzr, ila kwenye hizo mambo Waislamu hua hawana mambo mengi kama WakristoKuwahi au kutowahi kumzika mtu sio big issue. Kuna jamaa muislam post 10 kaeleza vema sana. Saa zingine mtu kazimia tu we mnawahi kumpiga kituta.
Kama watu mna uwezo hakuna ubaya kuchelewa kuzika kuwapa nafasi na wengine kushiriki ibada ya mazishi. Maana kuhudhuria mazishi ni ibada na ukumbusho pia.
Unajaribu kutetea lkn utetezi wako hauna mashiko,,,, kwa kuwa hata hao watu wa zamani uwezo wa kuhifadhi maiti walikuwa nao kwa njia wanazozijua wao mfano mafarao wa misri,,,, lkn yesu kazikwa siku hiyo hiyo sio sababu ya kuharibika mwili kama ulivyosema wewe bali ni utaratibu,,,, kwani kuna haja gani ya kuiweka maiti wiki mbili ili iweje,,Sipingi usemalo isipokuwa kwa Yesu, ni vyema tukitambua huyo mtu inasemekana alipigwa sana hivo alikuwa na wounds kwa wakati ule angeharibika siku hiyo hiyo hata sasa mtu wa aina hiyo ni almost impossible kumtunza
lakini sijasema maiti zizikwe haraka au
Hujaeleza points zozote ku counter aliyoeleza including technology ndogo ya kuhifadhi mwili enzi hizo.Uislam hauendeshwi kwa mawazo na busara zako, uislam unaendeshwa kwa kufata Quran na Sunnah
Katika uislam mambo matatu yanatakiwa yafanywe haraka.
1.Mtu anapohitaji kuoa aozeshwe haraka
2.Mtu anapotaka kuslim asilimishwe haraka
3.Mtu anapo fariki azikwe haraka.
Huo ndo uislam kila kitu kimefundishwa katika uislam had staili ya Kutembea, kula&Kunywa, kuvaa, kulala, kuamka, kiiila kitu kimefundishwa na huo ndo unatakiwa uwe mwenendo wa waislam na siyo burasa zako na maoni yako.
Na kuzichangia hizo mada ni upunguani even moreIwe unawahi au unachelewa akifa amekufa hakuna tofauti... kuna hoja ambazo hata kuziibulia uzi ni upunguani.
Kabisa. Ndiyo maana vema sana daktari akathibitisha japo pia na madaktari wenyewe ndiyo humohumo na vilaza nao wamo kwa wingi.Umenikumbusha mwaka 2010 Mwanza kuna bibi ilisemekana kafariki taratibu za mazishi zikaanza wakati wa kuosha mwili kuna mama alisema anahisi bibi anapumua wakampuuza kwamba anaogopa maiti...wamemweka kwenye jeneza wakati wanampulizia perfum akapiga chafya watu.ndio kutoka mbio... kumbe ki bibi kilipoteza tu fahamu.
Umeongea ukweli kidogo kwenye ishu ya wakristo.Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
View attachment 2585799
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long
Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni
Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....
Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Unaakili sana mkuu..Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.