Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Ni ukengeufu hata biblia haijaainisha hvyo, imeainisha vilevile waislamu wanavyofanya
Utakuwa huelewi! Unajua kwanini Yesu alizikwa siku hiyo hiyo? Kasome Biblia vizuri! Kama isingekuwa maandalio ya Sabato maanake mwili wa Yesu ungeshinda pale msalabani! Usilazimishe tufanane na Waislam!
 
Hili jamaa ni popoma tu ndiyo shida!
 
Watu wanaendeshwa na tamaduni za kale tena za uzao mwingine wa mbali kuliko wa kwao, yaani ni sawa na mtume kufuga ndevu kwa sababu ya kutokua na kifaa Cha kunyolea wakati huo, leo muafrika wa Masasi au Kigoma anasema ndevu ni Sunnah ya mtume[emoji23][emoji23] Yaani hii Afrika aisee
 
Asili ya dini ya kiislamu ni mazingira ya joto, hawawezi kuhifadhi maiti muda mrefu tofauti na huko Ulaya kwenye baridi

Hata jeneza, wanatumia moja kwa sababu jangwani hakuna mbao.

Na nguo wanazovaa, kanzu, kwa kuwa zinahimili joto.
 
Usinijazie maswali ili kunitoa nje ya mada tukae hapahapa kwenye lengo la uzi.

Mazishi kufanyika haraka haraka sio sheria kama unavyosema huo ni uzushi unaoleta hapa, lete ushahidi kuwa kuchelewesha kuzika ni dhambi na hukumu yake. Mazishi yalifanyika haraka wakati huko kutokana na hali halisi ya wakati huo, no mortuary, no telephones, no easy access of transportation unadhani wangefanya nini zaidi ya kuzika haraka, nowdays tunaweza kudelay hata siku 2 au tatu kusubiri watu wafike msibani kwa sababu kuna urahisi wa kuhifadhi maiti, usafiri ni wa haraka mfano mtu wa marekani anaweza kufika bongo ndani ya siku moja tu.


Ndio maana hakuna sehemu iliyozuia kuchelewesha kuzika na hata mtume alipofariki hawakumzika harakaharaka hii inaonyesha kuwa sio dhambi kusogeza muda wa kuzika ili kukamilisha baadhi ya mambo.

Kama nyinyi wafia dini mnang'ang'ania kuwa tufuatishe dini bila kufanya reasoning, iweje leo tutumie vipaza sauti badala ya bilal kutumia sauti yake halisi? Kwa nini tunatumia simu hizi wakati hazikuwepo wakati wa mtume? Kwa nini hapa Tanzania now tusitumie usafiri wa farasi kama uliokuwa ukitumika miaka hiyo?
 
Ww ni mjingaa

Nyie mnochelewesha kuzika niletee maiti moja ilofufuka
Mkuu kuwahi au kuchelewa yote ni sawa ujinga wangu upoje???????Sio lazima watu wooote duniani tuwe na mapokea ya dini ya kiarabu.Waafrika wabantu tuna taratibu zetu kuhusu mazishi mkuu.
 
Unawezakuwa umezimia tu wakawahi kuzika chap. ukizinduka ndio utajua hujui
Lete takwimu za walio tangazwa kufariki na kuwekwa mortuary, then baada ya muda fulani waka fufuka..?


Sema kila Dini/ Kabila au mtu..afuate anachoona ni sahihi kwake.
 
Na ni upumbavu zaidi pale mzoga mtarajiwa unapojaribu kuu-insult mzoga uliojipumzikia ukiwa haujui kama kuna mzoga usiojitambua umemsema vibaya.
Acha kukaza kichwa mtu akisha kufa hana lake tena duniani hakuna haja ya kukaa naye ndani mpaka anakuwa kelo kwa wengine ,unapo kaa na mfu ndani siku nne kwa sababu zako jua kuna watu hapo unawaharibia ratiba zao kwa kitu ambacho hakina faida yeyote, na mbaya zaidi unaanza kuomba michango ya kuendesha msiba yaani kero tu.
 
Nataka kujua mfano angefariki akiwa Marekani angezikwa siku hiyohiyo huko Marekani au taratibu za kumsafirisha kuja Tanga zingefanyika? Km ni ndiyo kulikua na uwezekano wa kuzikwa siku hiyohiyo au utaratibu wa dini ungevunjwa???
 
Upumbavu zaidi ni kuamini kuwa Mzoga unaendelea kupata maumivu kisa haujazikwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Na akifika kaburini anaanza kuhojiwa na kuadhibiwa mdogomdogo [emoji23]
Acha upumbavu hilo la marehemu kupata maumivu liko kiimani zaidi ,ila kiuhalisia kukaa na mtu ambaye ameshakufa ndani ni kelo kwa watu wengine ambao wanaharibu ratiba za biashara zao , wengine walikuwa na Safari zao zinaharibika kwa ajili yako kungangania kukaa na mfu ndani na mbaya zaidi unaanza kuomba michango kwa ajili ya kuendelea kuhudumia msiba.

Mtu akisha kufa hana chake tena wala hana faida yeyote duniani anatakiwa azikwe haraka watu waendelee na shughuli zao.
 
Umeongea sahihi kabisa, wengi wanachanganya uislam na uarabu. Tamaduni za kiarabu zimegeuzwa kuwa tamaduni za kiislam, hivyo hivyo kwa wakristo. Ndugu yangu hawezi kufa leo akazikwa leo, hapana kwa kweli.
 


4.Kuprint tashet za msiba ni hela kwa wafanyabiashara
5.Kukodi viti na mahema ni hela kwa wafanyabiashara
6.
7.
 
binadamu akisha kufa , anakua mzoga tu...hata usipomzika hakuna dhambi
 
Mtu kama kazimia kwenye process za kuoshwa lazima azinduke
 
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…