Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Hata hizo hukumu zinatekelezwa basi kaka, waislam wangapi leo hii wanaenda kwa Mwamposa wanaconvert lakini hawa waarabu pori wapo kimya, wajaribu waone serikali itakachowafanya.
Twende kwa fact, kwann usibadili utaratibu wa Swala kama unapenda kwenda na teknolojia? Yaan kwann usianzishe basi swala 8 au swala 3 ili kuendana na teknolojia?
 
Tatizo la nyie mliokaririshwa dini huwa hampendi chalenge, huo ujinga utawaisha lini?
Wewe sio Muislam, hakuna muislam mwehu, anayeweza kujipangia vitu kijinga na reasoning capacity ndogo kama yako.
 
Wachaga ndo wanakaa na maiti sana.

Hata Bwana Yesu alikufa leo na kuzikwa siku hiyo hiyo
 
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,

View attachment 2585799

Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:

Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long

Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni

Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....

Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Hizi nyuzi nyingine zinaonesha mwandishi ana msongo wa mawazo. Wewe ukifiwa ukaamua kuzika saa hiyo hiyo au dk hiyo hiyo si dhambi na hukatazwi kabisa. Mnapata shida bure waislamu kutaka mfanano na wakristo. Ni ukosefu tu wa afya ya akili. Maana vitu vingine unaonekana tu una msongo wa mawazo. Fanya utakavyo wewe. Wala hulazimishwi sheikh. Tena ukienda kwa wahindi wao ni bora zaidi wanachoma moto maiti. Unaweza amua hili ili upate mavumbi
 
We jamaa maiti ni kama shule ulisoma secondary sio ww .wahindi wanazichoma
 
Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.

Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.

Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.

Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.

Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Sheria na mafundisho ya uislamu ni timeless ndio kitu unatakiwa ukifahamu.
 
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,

View attachment 2585799

Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:

Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long

Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni

Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....

Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Post ya kiboya sana
 
Hauzuiliwi kubadili dini.
 
Wachaga ndo wanakaa na maiti sana.

Hata Bwana Yesu alikufa leo na kuzikwa siku hiyo hiyo
Lakini hawakuja kukuomba hata kumi kama mchango na ukihudhuria msibani unakula na kunywa chai

Wewe fanya utakavyo hujazuiwa
 
Mkuu kwa mujibu wa uislam mtu anapokata roho huwa anapata maumivu makali sana, na Yale maumivu hayakomi mpaka azikwe
Nadhani hii ni sababu kuu mtume wetu akatuasa swala hili liwe miongoni mwa Mambo ya haraka zaidi
Yaani Mtu ameshakata roho (Amekufa) halafu anaendelea kupata maumivu kisa hajazikwa???

Maumivu anapataje na hana hisia zozote na nerves zote zimekufa??

Sheikh tuache pls [emoji23]
 
Kukaa na mzoga ndani usio kuwa na faida yeyote siku tano ni moja wapo ya dalili ya upumbavu.
Upumbavu zaidi ni kuamini kuwa Mzoga unaendelea kupata maumivu kisa haujazikwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Na akifika kaburini anaanza kuhojiwa na kuadhibiwa mdogomdogo [emoji23]
 
Kuzika Ni desturi! Haiwezi kufanana!
Burying is tradition! Can't be homogeneous all over!

Yesu alizikwa siku hiyo hiyo siku ya tatu wanawake walienda kaburini ili waupake mwili mafuta ya mane mane Kama ilivyo desturi ya wayahudi! Walipofika na kuchungulia kaburini walikuta alishafufuka!

Yesu alizikwa na Yusuph wa Armathaya kwenye bustani ambako kulikua na kaburi ilihochongwa katika mwamba mithili ya pango ambako kuliviringishwa Jiwe kubwa kuziba mlango wa kaburi;

Awali je;
1. Ingawa waislam wanazika siku hiyo hiyo, je siku ya tatu wanawake huenda kaburini kupaka mwili wa marehemu mafuta au hata ya alizeti?
-kuna neno katika biblia "kama ilivyokua desturi ya wayahudi"
Hii inaonesha mazishi Ni desturi ya watu Fulani na haiwezi kufanana na watu wengine,
Ukisoma Egyptiology wanafanya mummification je unajua pengine wanapofanya mummification?

Huko uchagani zamani zamani baadhi ya maeneo watu walipokufa walizikwa jikoni Tena wakiwa wamekaa na baada ya muda mabaki yakifukuliwa na kuwekwa sehemu Fulani migombani na ilifanyika sherehe maalum ya kufukua!

2. Yesu alizikwa katika kaburi likokua tayari limechongwa! Kwa nature au geography ya maeneo yake haukua rahisi kuchimba mashimo Kama huko kwenu au wao hawakua na utaratibu wa kuchimba Kama wafanyavyo waislam au watu wa maeneo mengine na kumlaza marehemu huku wakiweka ubao juu yake kwenye Ile mini-grave!
Nikuulize Nani alimwekea Yesu Udogo? Kumbe haikua desturi ya wayahudi kuwekea udongo katika kaburi!

Zamani wamasai mtu akifa wanakimbia boma (manyata) na Wala hawaziki, was hivi hawafanyi hivyo; kwa sababu desturi yaweza kubadilika kutokana na muingiliano wa watu wenye desturi tofautu!! Ingawa sijawahi kuona msiba wa wamasai!

Jifunze kitu katika historia! Kuzika Ni desturi na haiwezi kufanana popote ukiacha hizi dini zilizoleta ufanano kwa wafuasi wake!
 
Back
Top Bottom