Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,

View attachment 2585799

Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:

Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long

Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni

Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....

Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Hamia huko
 
Wakristo mnakua wajinga sana yni

Saaa si bora mtume wetu alooa kuliko nyie mapastor wenu wanowalawiti vitoto vdgooo

Ivi umelifikiria hili kweli?
Hata huku kwétu Uswazi unaitwa mchezo wa kisilamu mnamgeza!
[emoji116][emoji116]
Musnad Ahmad 16245—[Mua’wiya amesema]: Nilimuona Mtume akinyonya ulimi au midomo ya Al-Hassan bin Ali, sala za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake. Kwani hakuna ulimi wala midomo aliyonyonya nabii itakayoteswa na jehanamu ya moto.

[Kitabu Sahih Bukhari
Hadithi nambari 6474
Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) amesema: “Yeyote awezaye kudhamini kilicho baina ya taya zake mbili na kilichoko baina ya miguu yake miwili (yaani ulimi wake na sehemu zake za siri), basi ninamdhaminia Pepo.
IMG_20220331_111946.jpg
 
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,

View attachment 2585799

Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:

Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long

Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni

Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....

Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Hapo laizzm gharama nazo ziwe kubwa.. matokeo yake kukalifishana kwenye michango ya malaki ya pesa...roho ishaenda kukutana na amali zake nyie manabaki kuranda randa na kukaa na mwili ulokuwa hauna tena faida
 
Kwani yesu alizaliwa tarehe ngapi mwezi wangapi mwaka gani na alikufa tarehe ngapi mwezi ngapi mwaka gani
 
Kitaaaaaambo boss alifiwa na mkewe

Mwili ulikaa mochwar siku kadhaa wakat wanasubiriwa jamaa zake waje kutoka ng'ambo

Pale kiwandan tuliazimwa vidume kadhaa kwa ajili ya kuchangamsha baraza na tulienda na draft letu

Hatukuwa na malalamiko kwa sabab maslah yetu yalizingatiwa
 
Khaaaa!!!
 
Kabla dini zipi kwani huo upagani wako na ukafiri na uisilamu kipi kilicho anza,mwisho mtu akisha zima Kawa mzoga tu muwe mwaka 1 awezi fufuka kuwa hai akisha kufa kwa mzogo hana thamani tena hata watoto na mke na wazazi na ndugu na jamaa wanakuwa wanatamani mzoga huo uwaondokee haraka ukitaka kuamini siku ukifiwa na mpendwa wako wakupe ulalenae chumba kimoja wikii
Mbona unaandika kama upo juu ya dyudyu linakupekecha tigo...? Wewe bwabwa kweli si ujibu kwa ustaarabu au unadhan unajua sana kukebehi... Kachezewe mtaro usiniletee upuuzi
 
Uislam hauendeshwi kwa mawazo na busara zako, uislam unaendeshwa kwa kufata Quran na Sunnah

Katika uislam mambo matatu yanatakiwa yafanywe haraka.
1.Mtu anapohitaji kuoa aozeshwe haraka
2.Mtu anapotaka kuslim asilimishwe haraka
3.Mtu anapo fariki azikwe haraka.

Huo ndo uislam kila kitu kimefundishwa katika uislam had staili ya Kutembea, kula&Kunywa, kuvaa, kulala, kuamka, kiiila kitu kimefundishwa na huo ndo unatakiwa uwe mwenendo wa waislam na siyo burasa zako na maoni yako.
Mkuu naomba tuu hiyo style ya kutembea
 
Kwani yesu alizaliwa tarehe ngapi mwezi wangapi mwaka gani na alikufa tarehe ngapi mwezi ngapi mwaka gani
Hakuna taarifa maalumu , tunachojua siku aliokufa ndo aliyozikwa mana taarifa hzo ndo zimeandikwa
 
Hata shughuli zao tu mfano ndoa, hazina mambo mengi,kwa wamama mchawi kijora tu
 
Hapo laizzm gharama nazo ziwe kubwa.. matokeo yake kukalifishana kwenye michango ya malaki ya pesa...roho ishaenda kukutana na amali zake nyie manabaki kuranda randa na kukaa na mwili ulokuwa hauna tena faida
Una shida na hilo!? Au una_force kufanana!?
 
Vizuri sana kujiongezea mkuu, binadamu hutakiwi kuwa na akili za kushikiwa katika kila kitu.
Asilimia kubwa wanaojifanya kuifuata sana dini huishia kuishi maisha ya kiarabu ndani ya Africa, unakuta mtu amevaa kanzu nyepesi huko Mafinga hata koti hajavaa ukimuuliza ooh nimevaa mavazi ya kiislam, baridi inampuliza tu kama ngedere hajui kanzu ni vazi la jangwani kwenye joto.

Waafrica lazima tufahamu kuwa Uislam sio Uarabu, dini hizi sio asili yetu ila kwa kuwa tumeamua kuamini basi tunapaswa kufanya reasoning sio kila kitu walicholeta waarabu basi nasi tuking'ang'anie bila kujali hakiendani na mazingira yetu.

Kuna siku fulani nilienda kijiji fulani kusini huko, nikakuta misikiti miwili ila kila mmoja una msimamo katika jambo fulani, jambo lenyewe ni kuwa msikiti mmoja wao wametengeneza jeneza la chuma kwa ajili ya kubebeba maiti. Msikiti mwingine wao wametengeneza jeneza la mbao ndio wanabebea maiti wakati wakwenda kuzika. Sasa kuna baadhi ya waislam wakama kuswali kutoka msikiti wenye jeneza la chuma wakahamia msikiti wenye jeneza la mbao sababu eto hawa waliotengeneza la chuma wamefanya kitu ambacho hakipo katika dini, unabebeaje maiti kwa kutumia lichuma. Mgogoro ukawa mkubwa sana hata baadhi tuliokuwa tunajaribu kuwasihi tufanye tafakuri kwanza ya suala hilo then tupate muafaka bado tukaonekana hatuna elimu kama nikivyodhihakiwa hapa.

Lakini ukitafakari na ukisoma historia huko uarabuni walikuwa wakienda kuzika kwa kutumia kitanda cha mbao, wanazika kisha wanarudi na kitanda kwa ajili ya kutumika kuzikia wengine, na yote ilisababishwa na ukosefu wa miti ya kutosha huko uarabuni kwa sababu sehemu kubwa ni jangwa. Sasa leo hii unakuta mwafrica aliyezungukwa na miti kila sehemu akatengeneza jeneza badala ya kitanda, kutokana na kukua kwa teknolojia watu wakabuni majeneza ya chuma ili yadumu kwa muda mrefu lakini wanatofautiana hapo tu kisa wamekariri hawataki kufanya reasoning.

Zaidi ya yote hizi dini zote mbili tumeletewa tu Leo hii mimi Hassan nimchukie Jose wakati tunafanana rangi ya mwili mpaka nywele halafu nimpende Ali mpemba mwenye nywele za kiarabu na ngozi nyeupe kisa dini. usitokwe na mishipa ya shingo kwa jambo lisilo lako. Mungu hashindwi kitu angetaka angekuletea dini yako hapohapo kwa lugha yako na utamaduni wako.

Mimi ni muislam mwenye fikra huru ninayejua kutofautisha Uislam na Uarab.
 
Mada ni taarifa ya mzee Tashrif kufariki? Au kuwahi kuzika waislamu na kuchelewa wakristo?
 
hapa umedhihirisha ujahili wako km sio ukafiri
ina maana hata nguzo ya 5 katika uislam unaiita utalii sijawahi kuona mtu mwenye itikadi hii anayejinasibisha na uislam
Hakuna kitu kibaya kama kukariri, kwa hiyo mimi kuita hija ni utalii unaniita kafiri, hebu tutazame maana ya neno hijja

Hijja ama Hajj ina faida kubwa sana kwa nchi ya saudi arabia.

Baada ya mafuta.. chanzo cha pili cha mapato utalii wa kidini ambao ni Hijja.
Fungua hii link
 
Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.

Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.

Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.

Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.

Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
[emoji123][emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom