Mzee Trump amesitisha mashambulizi aliyopanga kufanya Leo baada kujigamba atatoa kichapo leo

Mzee Trump amesitisha mashambulizi aliyopanga kufanya Leo baada kujigamba atatoa kichapo leo

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mzuka wana jamvi ?

Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo.

Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe takribani zaidi ya mara 5 kila akisema Leo Iran inakuwa majivu anasema ameombwa na viongozi wa mataifa mengine asishambulie na Iran wameonyesha utayari wa makubaliano

IMG_20260611_211129.jpg
 
Ndio maana kumekuwa ghafla na volatility ya ajabu kwenye forex market huyu mzee mwehu sana
 
Trump anawaza FIFA WC na uchaguzi wa November
 
Mzuka wana jamvi ?

Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo.

Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe takribani zaidi ya mara 5 kila akisema Leo Iran inakuwa majivu anasema ameombwa na viongozi wa mataifa mengine asishambulie na Iran wameonyesha utayari wa makubaliano

View attachment 3605849
Msalimie Copenhagen Denmark
 
USA anachomfanyia Iran ni mateso matupu kwa hao kobazi!

Kwanza sidhani kama pana shughuli yeyote ya kiuchumi inaendelea pale. Maana kablokiwa kila sehemu imekuwa kama yuko kwenye chupa.

Kuna muda iran itashindwa kuwalipa hata makamanda wake hapo ndio mzozo utakapokuwa wa ndani kwa ndani.
 
Ngoja mwosha kinyeo cha Trump Echolima1 aje na mapambio yake.

LOTH HEMA.
Huyo Echolima1 ni kenge anawamini sana Trump na Shetanyahu huyo Trump alijidai Iran Air force kaimaliza angalia uwongo wake unavyo jibiwa na na Iran wakati katangaza ataipiga Iran jana ndege za Iran zilikuwa angani zikiwasubiri walicho fanya ni kutumia tomahawk missiles na kutumia Airspace ziliopo nje ya Iran

Hata Iran walionyesha ndege zao zikifly kuwasubiria


View: https://youtube.com/shorts/vdk2anwTuVE?si=rHBKjuhmOWfrrWn6

Na yule mjinga Echolima1 alituambia Hezbullah kwisha hana uwezo wa kurusha Missiles hivi hakuona mvua zilizo Rusgwa na Hezbullah huko Tela Aviv na Haifa majuzi hahaha

View: https://youtu.be/SRjNIT_jxgg?si=tFroEU6YA-70ctzA
 
USA anachomfanyia Iran ni mateso matupu kwa hao kobazi!

Kwanza sidhani kama pana shughuli yeyote ya kiuchumi inaendelea pale. Maana kablokiwa kila sehemu imekuwa kama yuko kwenye chupa.

Kuna muda iran itashindwa kuwalipa hata makamanda wake hapo ndio mzozo utakapokuwa wa ndani kwa ndani.
Wewe dogo sikilizeni tu propoganda za USA na Israel hakuna nchi inatengeneza pesa kwa sasa kama Iran waulize UAE wamepeleka 3Billion Iran kwa sababu gani kama kuomba Iran wasiwapige pia Qatar nyie endeleni kula ugali kwa picture ya samaki
 
USA anachomfanyia Iran ni mateso matupu kwa hao kobazi!

Kwanza sidhani kama pana shughuli yeyote ya kiuchumi inaendelea pale. Maana kablokiwa kila sehemu imekuwa kama yuko kwenye chupa.

Kuna muda iran itashindwa kuwalipa hata makamanda wake hapo ndio mzozo utakapokuwa wa ndani kwa ndani.
Sahau hujui chochote kuhusu Iran jikalie kimya tu.
 
Iran ilimwambia akijaribu tena asitegemee kuomba tena mapumziko ayapate.... Pia Iran ilimwambia safari hii italenga makampuni ya Elon musk, Amazon, starlink, nyaya za chini ya bahari kuufunga kabisa mlango bahari wa Hormuz ikabidi awe mpole
 
Back
Top Bottom