Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Msalimie Copenhagen DenmarkMzuka wana jamvi ?
Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo.
Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe takribani zaidi ya mara 5 kila akisema Leo Iran inakuwa majivu anasema ameombwa na viongozi wa mataifa mengine asishambulie na Iran wameonyesha utayari wa makubaliano
View attachment 3605849
Huyo Echolima1 ni kenge anawamini sana Trump na Shetanyahu huyo Trump alijidai Iran Air force kaimaliza angalia uwongo wake unavyo jibiwa na na Iran wakati katangaza ataipiga Iran jana ndege za Iran zilikuwa angani zikiwasubiri walicho fanya ni kutumia tomahawk missiles na kutumia Airspace ziliopo nje ya Iran
Wewe dogo sikilizeni tu propoganda za USA na Israel hakuna nchi inatengeneza pesa kwa sasa kama Iran waulize UAE wamepeleka 3Billion Iran kwa sababu gani kama kuomba Iran wasiwapige pia Qatar nyie endeleni kula ugali kwa picture ya samakiUSA anachomfanyia Iran ni mateso matupu kwa hao kobazi!
Kwanza sidhani kama pana shughuli yeyote ya kiuchumi inaendelea pale. Maana kablokiwa kila sehemu imekuwa kama yuko kwenye chupa.
Kuna muda iran itashindwa kuwalipa hata makamanda wake hapo ndio mzozo utakapokuwa wa ndani kwa ndani.
Sahau hujui chochote kuhusu Iran jikalie kimya tu.USA anachomfanyia Iran ni mateso matupu kwa hao kobazi!
Kwanza sidhani kama pana shughuli yeyote ya kiuchumi inaendelea pale. Maana kablokiwa kila sehemu imekuwa kama yuko kwenye chupa.
Kuna muda iran itashindwa kuwalipa hata makamanda wake hapo ndio mzozo utakapokuwa wa ndani kwa ndani.
Wanaocheza kamari katika vita hivi wanaliwa sanaFinancial Analyst kuna kipndi alisemaga Unaweza kubetia matukio kama haya 😂
Kwahiyo trump kashachoma mikeka ya watu huko
USA ni dude kubwa, Iran ni cha mtoto tu, anapapasapapasa tu kwa vikombora vyake basi anaona kapiga. USA haijaamua kuichakaza iran inaona ikitumia mashambulizi mazito itaharibu inachotaka kuchukua
Wanaliwa tuWanaocheza kamari katika vita hivi wanaliwa sana
Ndio maana round hii kawa mpole anatafuta exit doorTrump anawaza FIFA WC na uchaguzi wa November
Nakubali Ayatollah wa Jf
Hilo zee halina akili
USA ni kubwa jinga 😂😂.USA ni dude kubwa, Iran ni cha mtoto tu, anapapasapapasa tu kwa vikombora vyake basi anaona kapiga. USA haijaamua kuichakaza iran inaona ikitumia mashambulizi mazito itaharibu inachotaka kuchukua