Mzee Trump amesitisha mashambulizi aliyopanga kufanya Leo baada kujigamba atatoa kichapo leo

sasa kama kablock kila sehem makombora yanayopiga kwenye kambi za mtekaji yanatokea wapi?
 
Umeathirika na propaganda za westerners ambao siku zote hawanaga ukweli kwenye haya mambo for 💯...huyu Trump amechizika tyr huko Kila siku ngonjera kibao
 
Umeathirika na propaganda za westerners ambao siku zote hawanaga ukweli kwenye haya mambo for 💯...huyu Trump amechizika tyr huko Kila siku ngonjera kibao
Ungewaonea huruma kidogo wa iran!

Nimbie shughuli gani ya kiuchumi itaendelea hapo iran kama bandari zote ziko bloked?

Itafika hatua iran itashindwa hata kulipa mishahara.

Utaona USA Huwa anavizia kukitaka kutulia anakinukisha anawalipua kidogo kisha anarudi nyuma kwa kisingizio cha mazungumzo!

US kaamua kumkomesha iran kiuchumi kabisa
 
Wewe dogo sikilizeni tu propoganda za USA na Israel hakuna nchi inatengeneza pesa kwa sasa kama Iran waulize UAE wamepeleka 3Billion Iran kwa sababu gani kama kuomba Iran wasiwapige pia Qatar nyie endeleni kula ugali kwa picture ya samaki
Leta ushahidi wa kulipwa hiyo bilioni 3
 
Leta ushahidi wa kulipwa hiyo bilioni 3
Dogo hata Israel wamekiri hayo lakini UAE anajidai sio kweli lakini kuna dalili ndege ya UAE kweli ilienda Iran ndio sababu Iran kawacha ishambulia UAE katiki kipigo cha mwisho


Israel pia wanadai frozen assets za Iran kutoka UAE zilipelekwa Iran ili Iran asishambulie Israel

 
Mbona meli nyingi tu zinapita kwa mtindo unaitwa shadow Fleet. Ulitegemea kweli blockade inaweza zuia wairan kuuza mafuta?

Soma hii taairfa ya ubalozi wa US (virtual) kwa Iran.

 

Chupa tena!!! Cha kukusaidia vuta upya Maps chunguza Iranian ipo kwenye Chupa🤠🤠
 
Wamewekewa vikwazo miaka 40 na wanapesa kama zote

wametaka kununua ndege za Abiria Boeing 100

airbus 100 kwa mpigo 👈

wanadai mipesa kila kona ya Dunia

Tanzania yenyewe tunadaiwa na Iranian 👈
 

Kwaiyo Israel kanunua Amani kwa Pesa!! Sio tena Iron-Dome!!!🤠
 
Unaota ndoto tu wewe lakini kipondo kiko palepale tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…