Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Movie zilizotafsiliwa sizipendi zimejaa kelele nyingi halafu quality ya movie inakuwa mbovu maana wanapunguza pixel.
Hii movie inabaki kwenye ubora wake.
Mkuu ni kweli kabisa,mkifanya hivyo mtatusaidia sana sii ambao movies jdo burudani yetu
 
mkuu nasema ubarikiwe vilivyo
 
Mdau, kuna movie ya kikorea inaitwa "the suspect" naitafuta sana , dondosha mule twende nayo sambamba
 
Hahaha ila umeadimika sana mkuu
[emoji2] nipo mkuu siunajua tena harakati za kusaka shekeli, nakupata vilivyo mkuu kila ukidondosha kitu huku na kule chimbo,.. Ile chanel yko ya series imebeba karibu kila kitu nailia timing tu.
 
[emoji2] nipo mkuu siunajua tena harakati za kusaka shekeli, nakupata vilivyo mkuu kila ukidondosha kitu huku na kule chimbo,.. Ile chanel yko ya series imebeba karibu kila kitu nailia timing tu.
Kila takataka ipo mzee baba.
 
Embu weka link ya telegram me naona mapicha picha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…