Mkuu movie zako zingine kule telegram kuna baadhi nyingine usimulii zingine unasimulia, unajua mfano kama mimi ukishasimulia najua hii movie ni kali au siyo kali kwangu lakini sijui! Mfano kama Along with the Gods ile ya jamaa ni zimamoto alikufa, sasa ile nimependa story yake nitaipakua! Ila kuna moja hivi ya 1BR ya yule mwanadada aliepanga chumba ata sijaielewa mkuu! Lakini samahani mi napenda uwe unasimulia kidogo harafu unaachia katikati mtu atajua tu hii movie nimependa au sijaipenda story yake,
Kingine mkuu kule YouTube channel yako sijui ni kwangu tu naona kuna movie tatu ambazo ndo umesimulia sasa sijui nakosea wapi! Yote kwa yote natanguliza shukrani zangu za dhati, Ni maoni yangu tu[emoji123]