Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Nasubiri itoke na the old guard niidownload "kitonga-cally".
 
Kuna movie ya kikorea naitafuta and siijui jina.

Nitajaribu kuandika ninachokikumbuka ili anayeipata anisaidie jina.


Kuna hawa scientist walikua wanatengeneza a time machine katika lab flani iliyokua chini ya maji..Baada ya kukamilisha ikabidi waitest kama ✓ 100%..hapa ndio msala unapoanza ila ila nakumbuka matukio machache kama vile moto, a computer virus iliyotengenezwa na sister mmoja humo. Mwisho wa picha wanapona man mmoja na huyo sister niliyemzungumzia juu apo.

Also,inavyoisha nahisi waliandika maneno yanayoendana na haya "Usiiangaikie kesho for you don't know what it brings".


kwa anayeifahamu au aneyeifaham movie iliyo kama ivyo msaada tafadhali.

Natanguliza shukran...
 
Mfano ukidownload movie yenye subtitle, mbona kwenye tv inakyandikia no subtitle tatizo linakua wapi?
cc SteveMollel
 
Chagua moja kati ya hizi malizia weekend yako fresh kabisa.

*Just Mercy
*Midway
*12 Strong
*13 hours secret soldier of Bengazi
*Badla
*Sicario
*15 Minutes
*Hunter Killer
*John wick
*Mile 22
*Grinch
*Peter rabbit
*6 underground
* Foxtrox Six
*Escape from Pretoria
*Pink
*Angle has Fallen
*Anna
* The courier
Hyo ya13 hours secret soldiers of Benghazi ni wanajeshi wa kimarekani wanakutana na shuluba ya hatari...
 
Jaman msaada mwenye app ya IDM iliyo kua cracked maana tunapata tabu sana ku download kwa pc
 
Ooh kama movies haina subtitle ndio vlc inaandika no history au mm ndio sielewi?
 
Back
Top Bottom