Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Lile bado mkuu sijajaribu tena kudowload kupitia kule, nachukua title naenda kupakua au kuchk kupitia cyrose hd, issue ni kwamba nikishaichak inabidi niifute kusave space, labda kama una any way au source like telegram ambayo naweza nikadownload zikawa stored out bila kuingia direct kwenye galary nitafutahi mkuuHahaha pamoja sana boss. Naona kila hatua twasonga...video ya kwanza ilichukua week kupata 100 views, ya pili ikachukua 5 days ila hii ya tatu imechukua masaa tu.
Alafu ntakuja na uzi mwingine wa movies kama si leo kesho. Kaa tayari.
Alafu vipi ulifanikiwa lile tatizo?